We are Sexually Incompartible!! Ndoa itadumu

Kwa hiyo pamoja na "sura nzuri tabia njema mpishi mzuri msafi ana heshima etc" she is ok which means hata angekuwa safi 6X6 bado angekuwa ok. Rejea post yako ya mwanzo.
Angekuwa complete package, mkuu. Unawezakaa na mwanamke hajui kupika that's fine, lakini hili la mambo ya tunda mkuu yaani has a powerful feeling.......nimejaribu kuoverlook lakini nashindwa kabisaa kadri siku ziendavyo.
 
Hapo ndipo panaleta utata.....maana dini zinasema tusizin had ndoa.....mtazamo wa kiyakinifu unaonesha kua waweza uziwa mbuzi kwenye sanduku.......maana kutakua na poor diagnosis wizara ya mambo ya ndani.....ambayo ni nyeti sana
Sio mnene wala sio mwembamba yuko wastani tu. Tabia nzuri anayo, ana heshima yani in overall yuko ok kasoro ni kwenye 6x6 yaani nimejitahidi saanaa kuoverlook lakini naona sasa it's taking its toll, nsipendi wala sitopenda kuja kuwa na nyumba ndogo maishani. Hata sijui nifanyenje niko njia panda
 
Hapo ndipo panaleta utata.....maana dini zinasema tusizin had ndoa.....mtazamo wa kiyakinifu unaonesha kua waweza uziwa mbuzi kwenye sanduku.......maana kutakua na poor diagnosis wizara ya mambo ya ndani.....ambayo ni nyeti sana

Mkuu najua kuwa ninatenda dhambi shauri nimezini na ninaendela kuzini kabla sijafunga ndoa. Lakini ndio yale ya kununua gari kabla hujalitest! All in all naombeni ushauri nifanyeje manake niko njia panda, kumtosa huyu binti naona ni kutomtendea haki kwani hajanikosea chochote, na kumwoa means nitaishia kuwa na nyumba ndogo kitu ambacho sitaki kitokee.
 
Mkuu ongea nae huyo demu wako kiutu uzima na mweleze how you feel about it and how you guys can work on that. Make no mistake, kama umeshaanza kufikiria makoloni ya zamani basi utarudi huko na itakuletea matatizo kwenye ndoa yako. Mpeleke kwa wanaake wataalam wamsaidie. Otherwise unakoelekea ni nyumba ndogo zitakunyakua
 
natamani nijitose mzima mzima ila sijui kweli au ndo muendelezo wa hadithi za shigongo
 
Jamaani mtu hawezi kukanyaga mpira
We wa mwambia acheeezee Arsenal khaaa

Na likija kwenye swala la sex sio kwamba
hawezi labda awe na umri chini ya miaka 15 ..
ila nadhani hayuko comfortable na kitu
Fulani mwilini mwake.. na kama yeye hajiamini itakuwa
Ngumu sana yeye kuwa huru kwako..
 
Back
Top Bottom