Hahahah hahha hhaahaha! EMT,naona umetutumia km exampe but "we are pregnant" haisound vizuri kbs na sijawahi sikia ila "we are expecting" imekaa vizuri na ndivo Rejao wangu anavowaambiaga watu tukikutana nao! hahaha hahahha
Why not? Tena nasikia kuna tudawa twa kuhamishia mimba kwa mume kwa muda! Yaani ikifika miezi kama 8 hivi, nakupa unipokee; ofcourse na ile first trimester ili ule pemba na Maembe dodo mabichi! LOL