We are not serious in anything

We are not serious in anything

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1411482717644.jpg
 
Kwenye mpangilio wa mahakama sidhani kama kuna mahakama ya Tanzania
 
Hapo wapo sahihi. Wanajaribu kuepuka kutumia neno idara ya mahakama ili mahakama ibaki kuwa ni mhimili wa dola unaojitegemea na sio kwamba ipo chini ya mhimili mwingine. Kiingereza chake ni judiciary of tanzania
 
OK asante sana kwa ufafanuzi natumai na wengine pia wataelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom