We are friends:::::::::tunaenda matembezi

kuna mama fulani namuonaga maeneo ya IST ana mbwa wake wa3

yaani huwa anawapandisha kwenye gari na belt anawafunga,akiwa na mwanae

ndo wale mbwa wanakaa nyuma....
 
kuna mama fulani namuonaga maeneo ya ist ana mbwa wake wa3

yaani huwa anawapandisha kwenye gari na belt anawafunga,akiwa na mwanae

ndo wale mbwa wanakaa nyuma....

asije akawa memba wa kile chama cha waashi huru
 
Naona dogo kapigilia batiki....safi sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…