We angalia tu usicomment!

Nashangaa watu wamecoment while umesema tusicoment.

Napita kimya kimya sicoment kitu hapa.
 
Ewe binti mfalme sema nikuzawadie nini nipate faraja yako.Nina gesi,mafuta,madini,wanyama pori,milima.Sema unachotaka mwenzio nipo hoi hapa.
 
Wazungu wameishamsoma kuwa jamaa ni mkware hivyo wakitaka kitu kutoka Tanzania wanawatuma mashori wao kuja kuongea nae!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…