We angalia tu usicomment!

We angalia tu usicomment!

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
haya.jpg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree.
 
Vigezo na masharti vizingatiwe!!!!LIKE ruksa
 
Ni kama anataka mzigo vile, ILA sio comment! Nimewaza kwa kuandika!
 
dah...

wakati dodoma wakishindia ubuyu...

mkuu wa kaya yuko abroad anapiga soga
 
Maongezi hapo lazima uangalie kiupande upande kama unaona aibu vile mtazame JK anavyoongalia kiupande,manake ukimcheki tu huyo mtoto lazima mlingoti usimame
 
Maongezi hapo lazima uangalie kiupande upande kama unaona aibu vile mtazame JK anavyoongalia kiupande,manake ukimcheki tu huyo mtoto lazima mlingoti usimame

Umesema wewe!!!ha!ha!ha....
 
dah...

wakati dodoma wakishindia ubuyu...

mkuu wa kaya yuko abroad anapiga soga

Mbona mchana baada ya Chakula cha mchana anaondoka anaenda Dodoma!!!
 
Mtoto anamcheki jamaa,lakini anaogopa kumwangalia,coz akimwangalia tu macho yatashuka hapo kwenye kuachanisha magoti na miguu,halafu kizaazaa a.k.a kigugumizi kwenye kuongea kitatokea, eh you...you...you..you... know..ee Chezea mitego weye
 
Back
Top Bottom