WCB Wasafi kuachia wimbo mpya leo

WCB Wasafi kuachia wimbo mpya leo

Kijuso-Queen Doreen ft Ray van.
Hakika vijana hawani hatari na ni chaguo la watanzania...
huwa nina wasi wasi na uwezo wa queen darleen, ikiwa nzuri basi fureshiiiii maana naona nyota yake inachechemea kweli
 
The audio is out already!!!!!!!!!!!! kama kawa dogo Rayvanny hajaniangusha kabisa...nimependa pia idea ya kupeana madongo...nyimbo ipo youtube kwenye acount ya Rayvanny....waiting for video
 

ni mbaya aisee,ukiachilia baba lao darasa kwa sasa hivi,kuna nyimbo kama ya neddy ft christian bella,mpya ya belle 9 na ile ya timbulo na baraka de prince ziko poa sio hii aiseee,ni mbaya labda kama video itakuwa nzuri
 
Iyo ngoma ata iwe kali vipi... Muziki. Itaendelea ku baaaaaang mtajaaaaaamba yanawanukia wenyew.... 'sio simba sio chui sio mambaa haaaaaa"
 
Wimbo ni Mzuri Lakini hapa kuna dogo anaitwa B2K lazima Atakuja kusema kaibiwa Beat! Hili beat linafanana na Ngoma ya B2k Inaitwa wewe! KAIfanyia WCB na laizer ndo producer itafuteni mtakuja niambia
 
nyimbo imetoka ili kumpa promo queen dalin kwa ajil ya tamasha lao.
 
Acha maneno weka mziki.....sio mnatoa nyimbo za kisenge na promo kibao hapa
 
Back
Top Bottom