Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,075
Hawawezi kubadilika kwa producer mmoja huyo huyo walionae, wabadilishe maproducer ili biti zibadilike ndo wanataweza kubadilika.nashangaa kuona wasanii wote wanaimba key moja mwisho wa siku haitambuliki huyu ni nani sababu wanaigana kama wataendelea hivi watachokwa hakuna anayetaka kubadika
baada yakuja huyo lavalava nikazani anakuja na key tofauti kumbe yale yale leo katoa nyimbo mpya inaitwa teja anaimba kama diamond au harmonize
game ya mziki kwa sasa imepoa sana wasanii wajaribu kuja na style mpya kula siku kuimba kwa mazoea ni kero tu kwa wasikilizaji
Ni kweli ila inabidi utoe kisingle chako huwaonyeshe mfano co unalalamika tu
huyo soudy anahangaika tu..
wenzake wanapiga fedha
://youtu.be/SubiOMTBoyQ