WC qualifiers: chelsea tunacho cha kujivunia

WC qualifiers: chelsea tunacho cha kujivunia

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,878
after international break naangalia vijana wa cobham jinsi walivyo wakilisha blue flag

1. Petr cech-czech republic
kama kawaida mr cleen sheet
alifanikiwa kuondoka na cleen sheet katika mechi yao dhidi ya armenia
akisaidia czech kushinda 2-0

2. Ivernovic- serbia
3. Lampard, a cole , cahil-england
thou super frankie aliingia second half alitoa mchango wake kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya poland

4.Oscar-brazil
alidhihirisha ule msemo wa no oscar no brazil kwa kutokea bench na kutupia kambani goli la ufunguzi kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya zambia

5.david luiz, ramires-brazil
mchango wao kwenye team ya brazil uko wazi

6.kevid de bruyne,tabaut courtois, eden hazard, lukaku-belgium
golden generation ya ubelgiji
hapa sina maneno mengi

7.mark shwazer- australia
licha ya kuwa namba mbili darajani bado ni kipa tegemeo australia

8.etoo-cameroon
mchango wake unafahamika aliwa inspire kumtungua mlibya 1-0

9.mikel obi, moses-nigeria
hawa sina maneno

10. Andre shurrle-germany
winger tereza baada ya mechi yao na sweeden mwanaume kaondoka na mpira baada ya kupasia kamba mara tatu

11. Juan mata-spain
watoto wa mjini tunamwita fundi
naye aliweka jina lake kwenye score sheet dhidi ya georgia

vijana wenye talent tunao kazi kwa uncle Mou ku wainspire
 
Chukua tano mdau.umesema yote

haha vijana wa theatre of dreams: ukimtoa rooney na RVP kushnehi

vijan wa bro roger: suarez . Lukas, gerrad mchezo umeisha

Wa wenger: mungu mtu ozil, aron ramsey, giroud father, wilshere mchezo umeiaha

wa AVB: vertrogen,lloris, paulinho katupwa nje brazil kushnehi

man city: toure, kompany, negredo kushnehi

wakat chelsea tunatengeneza timu na sub tunapata walioko first teams international level haha
 
Back
Top Bottom