ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,060
- 49,748
Benki ya Dunia imesema Kufikia mwaka 2050 Tanzania inakadiriwa kuwa na watu Milioni 140 ambapo itakuwa ni mzigo mkubwa Kwa Uchumi wa Nchi.
Akizindua ripoti ya Hali ya Uchumi ya Nchi, Mkurugenzi Mkaaji wa WB Kanda ya Mashariki na Tanznaia Nathan Beleke amesema Tanzania Ina ukujai wa 3% ambao ni Juu ya wastani wa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara na pia Ukiwa Juu ya ongezeko la watu la 2.7% linalokubaliwa kwenye Nchi zinazoendelea.
View: https://www.instagram.com/p/C4ae9p7oh2M/?igsh=d3UzdjR5cDV6cGU4
My Take
Kuliko Kuzuia watu wasizaane ni Bora kuitaka Serikali kuongeza Kasi ya Ukuaji wa Uchumi.
Sikubaliani na WB maana watu wengi ni faida.Nchi hii ni kubwa sana kuliko idadi hiyo ya watu.
View: https://www.instagram.com/p/C4cepXINmZH/?igsh=bTR4OTg3dHUxeGpt
Kama Tunaishi miaka Mingi Kuna shida gani?
View: https://www.instagram.com/p/C4gNTKPosYA/?igsh=MTBpb2dzbXM1MDlheA==