Wazungu wanavyotuthamini - Hakuna Mkristu wala Muislaam!

Wazungu wanavyotuthamini - Hakuna Mkristu wala Muislaam!

asante sana mtoa mada hii wakati sisi tunalaumiana wenzetu wanasonga haya tuone
 
1 unaweza kujitumia pamoja na wao hapo juu kwa kubofya "send by email'
2. unaweza kushare nao kwa facebook
3 unaweza ku-highlight, halafu unapaste kwenye word, then unatengeneza vizuri kabla ya ku-print.watakushukuru baadae
nisaidieni namna ya kufanya ili thread kama hii niweze kuprint nigawe kwa jamaa zangu.
 
What has been said in the letter is true. We blacks have only ourselves to blame for the predicament we find ourselves in.
  1. Utamaduni wa kujisomea hatuna kabisa. Just pay a visit to most of your friend's houses and I bet you will not see a single book in sight apart from the normal papers (Uwazi and Risasi)
  2. Tumetawaliwa sana na tamaa na wivu wa ajabu. Yaani mtu yupo radhi akupige majungu usifanikiwe maana ukifanikiwa yeye ataonekana hovyo. Niliwahi kutuma mizigo nyumbani kwa kushirikiana na mTanzania mwenzangu kwenye container moja but with separate documentation. Yeye ndie alishighulikia mambo yote ya usafirishaji. Kwa makusudi aliweka details za uwongo kwenye document ya mizigo yangu ili nilipe kodi kubwa Dar. Bahati nzuri nilifanikiwa kubadili hizo details na kulipa kodi stahiki ila adha niliyoipata sitasahu kamwe.
  3. Huku nilipo yaani waTanzania wanaona fahari kuendesha magari ya kifahari lakini kumlipa msaidizi wake wa ndani inakuwa taabu. We are very selfish. Akiwa na jambo ambalo linaweza wasaidia waTanzania wengine hatawaambia kabisa. Atakuwa radhi kuwaambia watu wa nchi zingine lakini sio waTanzania wenzake.
 
Hakianani ninazaidi ya miezi nane sijasoma 'thread'* Iliyoandikwa na kuchangiwa bila itikadi kama hii. Kiasiku ni cdm, ccm huku wakristu , waislam. Mungu azidi kuwaangazia na kuwapa busara ya kuona na kujadili matatizo ya nchi yetu katika mtazamo chanya.
 
Hakianani ninazaidi ya miezi nane sijasoma 'thread'* Iliyoandikwa na kuchangiwa bila itikadi kama hii. Kiasiku ni cdm, ccm huku wakristu , waislam. Mungu azidi kuwaangazia na kuwapa busara ya kuona na kujadili matatizo ya nchi yetu katika mtazamo chanya.

By the way naomba tafsiri sahihi ya kiswahili ya neno ''Thread''.
 
mambo haya kweli yapo haswaa in blacks hebu angalieni wahindi wanakuja hapa hawana lolote in 2-3 yrs anakuwa ni mtu mwenye kujiajiri unakalia kusema wanatuibia ooh hivi na vile kama kuna watu wanajua nini maana ya COMMUNITY ndicho kitu kinachowasaidia hawa,,kataika community watu wanahakikisha kila mtoto anaenda shule hata kama huna uwezo watachangia mpaka university,,kama huna nyumba watakuchangia mpaka uishi kwenye nyumba ambayo iko standard na mambo mengi wana hospitali zao wanasaidiana sasa ukija kwa blacks full kulogana kuamini uchawi na mambo mengi ,,,community inasaidia kuleta discipline katika jamii yale mambo ya kumpa mtoto wa fulani mimba au kubaka mtu anajua wazi jamii yake itamtenga akifanya mambo ya aibu,,mfano marekani wana community zao ambzao zinawafanya watambuane nani ni nani mambo mengi i think we should start things like this instead of kusemana kulogana ..........
 
Ukweli unauma tena sana, ukisoma michango ya wachangiaji unapata uthibitisho wa kauli hii, so bila kujali ni nani ameandika ( mimi naamini kuwa ni wazungu) na niseme kweli tu kama nilivyofurahi na ukweli ulivyoanikwa na yule mwandishi wa kifaransa Hubert Souper juu ya mapanki ya Mwanza na uwanja wa ndege kutumika kupeleka silaha Congo DR, ndivyo hivyo nimefurahishwa na mwandishi huyu kusema ukweli juu ya uvivu wetu waafrika na jinsi wenzetu wanavyotutizama. Kwangu mimi huu ni ukweli mwingine unaoniuma sana, kwa mara ya kwanza nilipambana na ukweli huu nilipokwenda Ubalozi wa US pale msasani ku attend interview kwa ajili ya scholarship, yule msaidizi wa balozi alimuuliza dogo mmoja swali kuwa ukitoka hapa ndani kwenye barabara iendayo shoppers plaza kuna tangazo gani! sio jamaa tu aliyeshindwa lile swali sote tulishindwa ndipo yule msaidizi wa balozi (alikuwa mama wa kizungu) alipoanza kutupa ukweli wetu kuwa tatizo HATUSOMI halafu eti tunaenda kuomba scholarship,maana kama hatusomi tunaweza ishia kutapeliwa tu!
 
Exactly ongezea pia "Mwafrika akimuibia mwenzake anaona raha na ujanja kuwahi"

Mfano kauli ya JK "Wao wameomba (national cake) wakapewa" eti kwa vile wamewahi kuiba ni wajanja wanastahili kupongezwa si kulaumiwa..oops

Tuache kuibiana sisi kwa sisi ndio tuanze kuwa na kauli thabiti kuhus wengine..
 
katika jina la thread hii ushindwe UDINI na matawi yake na maajenti yake
JITU LITAKALO WEKA THREAD YENYE UDIN NAJIAPIA NITAPIGWA BAN
MODS KAEN CHONJO. JITU LINADIGREE HARAFU LINATANGULIZA UDINI NALINA KOGO KABISHA UDIN UTATUFIKISHA WAP.
 
Exactly ongezea pia "Mwafrika akimuibia mwenzake anaona raha na ujanja kuwahi"

Mfano kauli ya JK "Wao wameomba (national cake) wakapewa" eti kwa vile wamewahi kuiba ni wajanja wanastahili kupongezwa si kulaumiwa..oops
Tuache kuibiana sisi kwa sisi ndio tuanze kuwa na kauli thabiti kuhus wengine.
.

Duu! Mkuu Topical, this coming from you is quite a revelation.... !!
 
katika jina la thread hii ushindwe UDINI na matawi yake na maajenti yake
JITU LITAKALO WEKA THREAD YENYE UDIN NAJIAPIA NITAPIGWA BAN
MODS KAEN CHONJO. JITU LINADIGREE HARAFU LINATANGULIZA UDINI NALINA KOGO KABISHA UDIN UTATUFIKISHA WAP.
nini tena mazee??
 
Nadhani imefikia wakati wa kusaidiana wenyewe kwa wenyewe bila ya kusubiri mabadiliko kwenye serikali kwa sababu yanaonekana kuchukua muda mrefu mno na jamii inaangamia.

Nini kinazuwia kwa mfano watu wenye uwezo kujikusanya na kufungua maktaba moja kuhudumia vijiji vya kwao? Nini kinatuzuwia kukusanya michango na ujuzi na kulipia madaktari kwenda kupiga kambi kijijini mara moja kwa mwezi?

Watu wote matajiri kwa maskini wanaunganishwa na serikali kujiletea maendeleo kupitia kodi wanazolipa. Njia ya haraka na yenye msukumo wa kisheria kujiletea maendeleo ni kupitia serikali makini inayowajali watu wake.
Watu wote walipe kodi, wahakikishe wanachagua viongozi wenye akili na maarifa ya kutumia vizuri kodi zao pamoja na rasilimali zilizopo kujiletea maendeleo.
Tatizo kubwa ni ujinga na ubinafsi wa wachache waliopewa madaraka wanaohamisha utajiri kupeleka nje ya jamii kwa kushirikiana na wageni au kutochukua hatua kuzuia uporaji wa rasilimali za uma kwa makusudi au kwa uzembe tu.
Ni muhimu kwa watu wote kujua kwamba wana wajibu wa kuboresha hali zao pamoja za wanajamii wengine ili jamii yote kwa ujumla iendelee.
 
Huo ujumbe hasa asili yake ni kwa ajili ya watu weusi wanaoishi Marekani na nchi nyengine kulikokuwa na biashara ya utumwa.

Kwangu ujumbe mkubwa zaidi ni namna mwandishi anavyoeleza kuwa jamii ya watu weupe ilivyo responsible kwa watu wake wakati jamii ya watu weusi haipo hivyo.

Tukijiangalia ndani ya Tanzania, tunaona pia tofauti hizo ndani ya jamii japo hazihusiani na utumwa. Jamii ya Mashia au Ismailiya, zinatabia za kusaidiana kupitia majamati yao. Wana shule zao nzuri, wana clubs zao ambazo hutoa msaada wa kuanzisha biashara au scholarships kwa watoto wao pamoja na matibabu. Tunakuta wengi ya hawa wana maisha mazuri kiasi kuliko wengine. Hata shughuli za misiba na sherehe kama harusi huendeshwa na jumuiya

Jamii nyengine si aghlabu kukuta wakisaidiana licha ya kuwa kuna watu wengi wenye utajiri kwenye jamii hizo. Nini sababu?


Wahaya nasikia wana same mentality lakini ndio sisi watanzania wenyewe tunawaita wakabila.

Nasikia wahaya kusoma sana miaka ya nyuma ilikuwa kutokana na hiyo. Mtoto yeyote aliyetakiwa kweda shule alisaidiwa na kijiji hata kama wazazii hawakuwana uwezo.Na kuna wengine wanasema mafanikio ya KCU yalifanya hata Nyerere aingize siasa kupunguza nguvu kwenye vyama vya ushirika. kile chama ilikuwa hatua kumi mbele zaidi.

Lakini nadhani watu wengi tunadhani ukikuta wahaya wengie ofisi fulani sbabu kubw ani ukabila wao.

Inawezekana ikawa kweli wana ukabila lakini inakuwa rahisi kumbeba msomi .

Kwa hiyo mi nadhani kwa watanzania jamii ya wahaya wana wana kitu fulani cha kusaidianana lakini miaa inavykwenda wanapotza uhalisia wao.
 
For those of you who didn't hear it, this is very deep. This is a heavy piece and a Caucasian wrote it.

"THEY ARE STILL OUR SLAVES"

We can continue to reap profits from the Blacks without the effort of physical slavery. Look at the current methods of containment that they use on themselves: IGNORANCE, GREED, and SELFISHNESS.

Their IGNORANCE is the primary weapon of containment. A great man once said, "The best way to hide something from Black people is to put it in a book.

We now live in the Information Age. They have gained the opportunity to read any book on any subject through the efforts of their fight for freedom, yet they refuse to read. There are numerous books readily available at Borders, Barnes & Noble, and <http://amazon.com/ Amazon. com, not to mention their own Black Bookstores that provide solid blueprints to reach economic equality (which should have been their fight all along), but few read consistently, if at all.

GREED is another powerful weapon of containment. Blacks, since the abolition of slavery, have had large amounts of money at their disposal. Last year they spent 10 billion dollars during Christmas, out of their 450 billion dollars in total yearly income (2.22%).

Any of us can use them as our target market, for any business venture we care to dream up, no matter how outlandish, they will buy into it. Being primarily a consumer people, they function totally by greed. They
continually want more, with little thought for saving or investing.

They would rather buy some new sneakers than invest in starting a business. Some even neglect their children to have the latest Tommy or FUBU, and they still think that having a Mercedes, and a big house gives them "Status" or that they have achieved their Dream. They are fools! The vast majority of their people are still in poverty because their greed holds them back from collectively making better communities.

With the help of BET, and the rest of their black media that often broadcasts destructive images into their own homes, we will continue to see huge profits like those of Tommy and Nike. (Tommy Hilfiger has even jeered them, saying he doesn't want their money, and look at how the fools spend more with him than ever before!). They'll continue to show off to each other while we build solid communities with the profits from our businesses that we market to them.

SELFISHNESS, ingrained in their minds through slavery, is one of the major ways we can continue to contain them. One of their own, Dubois said that there was an innate division in their culture. "Talented Tenth" he called it. He was correct in his deduction that there are segments of their culture that has achieved some "form" of success. However,that segment missed the fullness of his work. They didn't read that the "Talented Tenth" was then responsible to aid The Non-Talented Ninety Percent in achieving a better life.

Instead, that segment has created another class, Buppie class that looks down on their people or aids them in a condescending manner. They will never achieve what we have. Their selfishness does not allow them to be able to work together on any project or endeavor of substance.

When they do get together, their selfishness lets their egos get in the way of their goal. Their so-called help organizations seem to only want to promote their name without making any real change in their community.

They are content to sit in conferences and conventions in our hotels, and talk about what they will do, while they award plaques to the best speakers, not to the best doers. Is there no end to their selfishness? They steadfastly refuse to see that TOGETHER EACH ACHIEVES MORE (TEAM)

They do not understand that they are no better than each other because of what they own , as a matter of fact, most of those Buppies are but one or two pay checks away from poverty. All of which is under the control of our pens in our offices and our rooms.

Yes, we will continue to contain them as long as they refuse to read, continue to buy anything they want, and keep thinking they are "helping" their communities by paying dues to organizations which do little other than hold lavish conventions in our hotels. By the way, don't worry about any of them reading this letter, remember, 'THEY DON'T READ!!!!


Now that you have read this, I want to get an ongoing discussion on the topic. I want everyone who reads this to post your opinions of this letter. Do you feel that is true. If so, in what ways? How can us as a black race get away from these sterotypes or accusations that are raised within this text? The evidence is provided in this letter. Did this letter take you aback as it did to me? Let me know what you think. Tell your friends to read this also. Remember that in order to have progress you must address the issues pertaining to your people so please keep this in mind and educate your friends and most importantly educate yourselves. -----Garrett L. Sawyer: Content Editor for Pride Magazine
Mkuu nakubaliana kabisa, tena ukiweza kuishi nao huko ulaya ndiyo utaona wanavyotuona sisi ni hohehahe, eti unashangaa wanakuja na model za kupunguza umasikini (na siyo kuuondoa), halafu wao nani aliwafanya wawe matajiri? nadhani waafrika inabidi tujiulize sana tunaposign mikataba ya rasilimali zetu.
 
Kwa ujumla nawashukuru sana ktk michango mloiweka hapa na kikubwa zaidi ni kwamba wengi wetu TUMEKUBALI ukweli ingawa unauma hivyo basi kwa nini kwanza adui yetu mkubwa asiwe - IGNORANCE, GREED na SELFISHNESS baina yetu sisi wenyewe wakati tukiwatumikia wazungu kama mabwana zetu. Na uki flip coin kutazama upande wa pili Utakuta hao wazungu nao ni ignorant, greed na selfish lakini kwa wageni na mataifa mengine..

Kikubwa zaidi kilichonisukuma kuweka mada hii ni jinsi Udini na Ukabila ulivyoweza kuchukua nafasi kubwa ya mada na hoja hapa JF na ukisoma kipengele cha selfishness yaani ni aibu tupu tunayoandika hapa JF.
 
Kwa ujumla nawashukuru sana ktk michango mloiweka hapa na kikubwa zaidi ni kwamba wengi wetu TUMEKUBALI ukweli ingawa unauma hivyo basi kwa nini kwanza adui yetu mkubwa asiwe - IGNORANCE, GREED na SELFISHNESS baina yetu sisi wenyewe wakati tukiwatumikia wazungu kama mabwana zetu. Na uki flip coin kutazama upande wa pili Utakuta hao wazungu nao ni ignorant, greed na selfish lakini kwa wageni na mataifa mengine..

Kikubwa zaidi kilichonisukuma kuweka mada hii ni jinsi Udini na Ukab
 
Hii message ipo Direct kwa African-American or Black American. Dhumuni kubwa ni kuwapa Wake up Call hawa wenzetu waliopo Marekani.

African-American wanastruggle zaidi kutokana na Education system iliyopo Marekani. Kwanza, lazima kukubali Wazungu na Slavery agenda yao ndiyo iliyosababisha haya matatizo makubwa sana ya kuwafanya African kuwa behind ktk sector nyingi sana Serikalini.

Utumwa ndiyo umesababisha haya.

 
What has been said in the letter is true. We blacks have only ourselves to blame for the predicament we find ourselves in.
  1. Utamaduni wa kujisomea hatuna kabisa. Just pay a visit to most of your friend's houses and I bet you will not see a single book in sight apart from the normal papers (Uwazi and Risasi)
  2. Tumetawaliwa sana na tamaa na wivu wa ajabu. Yaani mtu yupo radhi akupige majungu usifanikiwe maana ukifanikiwa yeye ataonekana hovyo. Niliwahi kutuma mizigo nyumbani kwa kushirikiana na mTanzania mwenzangu kwenye container moja but with separate documentation. Yeye ndie alishighulikia mambo yote ya usafirishaji. Kwa makusudi aliweka details za uwongo kwenye document ya mizigo yangu ili nilipe kodi kubwa Dar. Bahati nzuri nilifanikiwa kubadili hizo details na kulipa kodi stahiki ila adha niliyoipata sitasahu kamwe.
  3. Huku nilipo yaani waTanzania wanaona fahari kuendesha magari ya kifahari lakini kumlipa msaidizi wake wa ndani inakuwa taabu. We are very selfish. Akiwa na jambo ambalo linaweza wasaidia waTanzania wengine hatawaambia kabisa. Atakuwa radhi kuwaambia watu wa nchi zingine lakini sio waTanzania wenzake.

Hivyo vitu Tamaa na Wivu siyo vibaya kwa maendeleo ya Muafrika au Non-White. Tamaa ni jambo zuri kwa maendeleo yetu. Ukiwa na Tamaa itakufanya uongeze bidii ili uwe na vitu vingi au mali nyingi.

Wivu- si jambo baya, chuki ndiyo mbaya. Wivu wa maendeleo ni kitu kizuri. Ukiona mwenzako ana gari zuri, basi itakusaidia wewe kuongeza bidii ili upate gari nzuri.

Wivu unakusaidia kuwa Competitive.
 
Back
Top Bottom