Wazungu wanavyotuthamini - Hakuna Mkristu wala Muislaam!

Wazungu wanavyotuthamini - Hakuna Mkristu wala Muislaam!

let embrace one another, after all we Tanzanians regardless of our belief we share same common problems, how we tackle those problems will depends on how we, as Tanzanians work together, the issue of being Muslim or Christian does not help much! White people work together no matter how much they disagree, look at Catholic church; Pope Benedict has blood on his hands do we know how many innocent jews he killed so ask yourself why Catholic church did not elect Cardinal Azinge a truly man of God with clean hands? Or Muslim Arabs do they view us African Muslims the same way they views fellow Arabs? It shame for Tanzanians for not loving one another; FAITH IS ALL ABOUT LOVE NOT HATE. IF YOU THINK YOU ARE MORE EDUCATED THAN THE OTHER TAKE TIME TO SHARE YOUR SUCCESS . We can`t correct our past but we can work our future. Work it out !
Chama
Gongo la Mboto DSM
 
nakuomba sana unPM kwa ufupi ninatumia mobile nitumie thread hiyo kwenye email nitaiprint na ndiyo itakuwa chloquine yangu. Nitakuwa naisoma asubuhi nikamka na usiku kabla ya kulala. Kha! Kweli uislam,ukiristo, CHADEMA,CCM,safari laga, ushirikina,....
 
sasa hivi tunawatumikia sio wazungu tena we are under wahindi now...wakitoka wahindi sijui watakuja wachina
 
Believe me utakuta mtu anafikiri ngono ngono ngono pombe pombe. Ubongo wa waliowengi hasa mijini unafanya kazi kwa ajili ya hayo. Nafahamu watu wakubwa kabisa na akili zao anasema nikipata ukurugenzi wanawake wote kampuni hii nitawamaliza, au nitavaa suti kama ya Bill gates. The fact is, uwezo wa kufanya kazi na kufikiri ni mkubwa, lakini umekuwa limited kwenye chupi na chupa.
 
Watu wote matajiri kwa maskini wanaunganishwa na serikali kujiletea maendeleo kupitia kodi wanazolipa. Njia ya haraka na yenye msukumo wa kisheria kujiletea maendeleo ni kupitia serikali makini inayowajali watu wake.
Watu wote walipe kodi, wahakikishe wanachagua viongozi wenye akili na maarifa ya kutumia vizuri kodi zao pamoja na rasilimali zilizopo kujiletea maendeleo.
Tatizo kubwa ni ujinga na ubinafsi wa wachache waliopewa madaraka wanaohamisha utajiri kupeleka nje ya jamii kwa kushirikiana na wageni au kutochukua hatua kuzuia uporaji wa rasilimali za uma kwa makusudi au kwa uzembe tu.
Ni muhimu kwa watu wote kujua kwamba wana wajibu wa kuboresha hali zao pamoja za wanajamii wengine ili jamii yote kwa ujumla iendelee.

You are right kuwa serikali ndio ina jukumu la kuunganisha watu. Lakini iwapo serikali haifanyi, na hata wakishindwa kwenye uchaguzi wanaiba kura, tukae tu tunalalama au tuchukue hatua za kujiletea maendeleo wenyewe bila ya serikali?

Tumesikia mfano wa vyama vya ushirika vya Wahaya kabla ya ukoloni kwa mfano. Mimi navikubali kwa asilimia zote. Iwapo serikali haileti mafanikio basi ni sisi wenyewe tusaidiane tulazimishe maendeleo kwetu. Tukifa kwa maradhi, tukikosa elimu, tukifa njaa, serikali haijali, tunaoumia ni sisi wenyewe. Vyama vya ushirika ni muhimu mno katika nchi hii isiyokuwa na serikali yenye manufaa yoyote.
 
Back
Top Bottom