Mkuu unavyoandika kama vile maisha yanakaririka kwamba ukifanya hivi lazima iwe vile,kuna watu wajinga na wana hela na wengine wana elimu ila wanaishia kutumia elimu zao kufanyia utapeli tu.Kitendo cha kuamini kuna uchawi mpaka hapo ni ujinga tayari.
Na ndio maana masikini wengi waishio mijini na vijijini wasio na elimu ndio wanaamini uchawi.
Na wanaamini uchawi sababu ni wajinga na ni wajinga ndio maana ni masikini.
Kama wengi wenu humu mnaamini uchawi sababu ni wajinga na masikini pia.
Still unaweza ukasoma na ujinga ukabaki palepale considering education system yetu ni mbovu.
Na ndio sababu graduates wengi masikini.
Hiyo ni FACT.
For instance mtu biashara yake haiendi sababu hajui kufanya biashara sababu ni mjinga.
Hajui uchumi wa nchi unaendaje.
Hajui uchumi wa watu anaowauzia
Sababu hajui anawauzia watu wa aina gani.
Wala hajui anamlenga nani.
Pia hajui kwanini anafanya hiyo biashara.
Biashara sio kuuza tu biashara unahitaji elimu or kama huna elimu au unayo elimu ila bado mjinga basi utaenda kwa mganga na huo ndio ujinga ninaouongelea.
Hiyo ni FACT.
Haya mnayoandika ni story za vijiweni kuchangamsha kijiwe.
Bytheway I feel sad kuona africans bado mnaamini uchawi bado tuna safari ndefu sana.
Hahaha...bado hajaingia uraiani kuona uhalisia wa maisha.You are still a teenager...Subiri ukue ndo utaelewa...
Kuna mmoja alikuwa anajifanya mtu wa dini na msomi hana mambo ya kiswahili anawaambia wenzake waache imani za kishirikina,ila alipigwa stroke akaenda kuponea kwa mganga.Dogo ebu kafanyie hiyo biashara yako uswahilini ama vijijini huko uje na mrejesho.
Yani we unatukana kabisa na kusema wanaoamini uchawi ni wajinga? Dogo unapotea alafu watu kama nyie mkiingia 18 za wachawi hamchomokagi kirahisi.
Na unajua nini? Mchawi huwa anapenda wajinga kama wewe wasioamini uchawi upo, ili anapokupiga usigundue.
Wahindi wana hela ila imani zao za kishirikina zipo wazi kabisa kwenye biashara zao.Si imani ambayo wamejengewa nayo thus awaamini hizo mambo only kwa sie masikini.
Kurogwa sio lazima iwe masuala ya riziki tu.Wengine tumerogwa tangu atujazaliwa Hadi Sasa still mambo yetu yanatunyookea tu
Huwezi ku prove hakuna uchawi ila unachoweza ni kuukata uchawi.Mkuu uko Too emotional mpaka ulichoandika kimegeuka fallacy considering ni opinion na sio fact.
Leta facts na sio opinions hizo story za vijiweni ili kutishana peleka kwa watoto wenye 5yrs duniani.
Now Prove uwepo wa uchawi...?
I can prove hakuna uchawi.
Mkuu unajua nimeshuhudia mambo mengi ya kishirikina tangu utoto wangu unashangaa mtu anasema wanaoamini uchawi upo ni wajinga.Kuna mmoja alikuwa anajifanya mtu wa dini na msomi hana mambo ya kiswahili anawaambia wenzake waache imani za kishirikina,ila alipigwa stroke akaenda kuponea kwa mganga.
kinaitwa haiti wakazi wake ni weusi...kwa asili ni watumwa waliotoka africaKina kisiwa kipo karibu na Marekani ni wachawi balaa
kinaitwa haiti wakazi wake ni weusi...kwa asili ni watumwa waliotoka africa
Wanafanya ki teknolojia,wananunua sana vitabu vya kichawi mitandaoni na hadi majini wanauziana huko.mbona nikigoogle magic spells zinakuja nyingi kuliko Uganga Tanzania au ndo wanatumia technology zaidi?
Wanachokifanya hawa watu ni kujiaminisha kuwa hakuna uchawi,hilo tukio naona kila ukimuuliza analikwepa kulijadili. Hata mie nashangaa maana watu tumeshuhudia matukio mengi ya kichawi na wengine tulikuwa tunapoteza ndugu zetu yani kila mwaka anaangushwa mtu hadi tipokuja kushtukia halafu anakuja mtu anakwambia hakuna uchawi hadi unajiuliza huyu mtu anaishi sayari gani?Mkuu unajua nimeshuhudia mambo mengi ya kishirikina tangu utoto wangu unashangaa mtu anasema wanaoamini uchawi upo ni wajinga.
Inashangaza, unamuuliza inawezekanaje Binadamu-Mwanamke aliyekamilika azae Kuku? Hajiulizi tu...!
Hatari wale,ndio anatokea Rihanna.Shkran. Nasikia ni wachawi sana.
hahahaaaa....naona unaweka variable sawa ili ajikaange mwenyewe kwa mafuta yake hahaaaaKuna siku nilikuwa natoka kazini New York City.
Nilipofika karibu kona ya Wall Street na Broadway, hapo kwenye New York Stock Exchange, nikakutana na mtu mmoja mweusi, anasema kwa accent nzito ya West Africa, kama ya Nigeria hivi, kasimama katikati ya barabara anahubiri habari za Ukristo.
Watu wanampita hawana habari naye, lakini yeye anahubiri tu.
Huyo naye alisambaza Ukristo.
Je, huyo naye ni mzungu?
Hatari wale,ndio anatokea Rihanna.
wale jamaa uchawi kwao ni kawaida sana hadi ikulu unaweza ukaenda kufanya tambiko km unakoneksheni....na huwa haikosagi majanga ni chi ya ovyo iliyoko america...yaaani uchawi kwao umehalalishwa kabisaa na upo kisheria hahaaaaShkran. Nasikia ni wachawi sana.
Awawazidi waafrika 90% wanasaka ndumba za maisha why Bado wapo hovyo dhiki kuu.Wahindi wana hela ila imani zao za kishirikina zipo wazi kabisa kwenye biashara zao.
Amesema kuna mwanamke mkoani Kigoma,amejifungua kuku,badala ya binadamu. Amejifungulia Hospitali. Madaktari wamethibitisha kuwa amejifungua kuku. He,hiyo unaizungumziaje?To be honest you're too emotional.
Second sijaelewa ulichokiandika.
But it seems like wewe ndio walewale.
Duh!hiyo 90%Awawazidi waafrika 90% wanasaka ndumba za maisha why Bado wapo hovyo dhiki kuu.
Why wasitumie uchawi kuboresha maisha yao
Mwengine ni wewe mkuu.
Ndio maana nikasema
Nimekutana na watu wa aina yako wengi sana.
Mtu ukipinga opinions zake ubongo wake una take as personally attack hivyo unajaribu kuweka self defense ili mtu huyo asijihisi inferior badala ya kutumia hoja na facts kumjibu mtu huyo.
ila ukweli utabaki palepale kuwa yeye ni inferior na ni small minded.
Na hivyo brain kuanza kuweka self defense ambapo moja wapo ni kumuattack mtu huyo personally.
Kama ulivyofanya hapa
And i think utaendelea kuniattack personally instead ya kutumia hoja na facts ili kunipinga.
Na hiyo ni kwa watu wenye akili changa haijarishi una umri gani.
Hiyo ni proof tosha niko sahihi 100%.
Sababu wote mmeshindwa kupinga instead mnatukana tu.