Wazungu wana uchawi wa "small scale"?

Kwaiyo civil engineers kunamazingara mnabdi mpige tawire.
Lazima uwahusishe wenyeji mkuu. Tena sio civil engineer tu, ni kama fani zote. Uliza wale wa gas Mtwara ilikuwaje.
 
Basi usiniulize yasiyonihusu maana sitoweza kuwa na majibu yake.
Hata yanayokuhusu huwezi kuyajibu kwa uthibitisho, hujathibitisha uchawi upo.

Au hujathibitisha uchawi upo kwasababu hayakuhusu?
 
Hata yanayokuhusu huwezi kuyajibu kwa uthibitisho, hujathibitisha uchawi upo.

Au hujathibitisha uchawi upo kwasababu hayakuhusu?
Wewe toka mwanzo nilikwambia kuwa huwezi kuthibitisha kitu usichokijua,nimekupa uthibitisho wa uchawi ila kwa kuwa haujui uchawi ni nini ukaishia kuukataa uthibitisho niliyokupa,na ni kwa sababu hujui hata uchawi unafananaje na ndio maana hata uthibitisho wa uchawi huwezi kuutambua.
 
Kwa maana hiyo uchawi hauujui na huwezi kuthibitisha uchawi upo?
 
Voo Doo
 
Blue order? Duh ngoja nikagoogle πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hatari sana, wazungu wengi sana asili yao ni Israel na niwakristo,wazungu wengi ni asili ya Israel pia ni wayahudi,shida hapo ni kuchanganya myahudi ni nani na mu-Israel ni nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…