Hapa umeandika kama mtu asiyejua nini mantiki ya uthibitisho maana ungejua kua uthibitisho ndani yake huanza na maelezo ya kuelezea keypoint ya swali "uchawi ni nini" usinge kurupuka kuandiia hayaHapana,huwezi kukurupuka na kuanza kudai uthibitisho wa kitu ambacho hujakielewa lazima kwanza ukifahamu hicho kitu.
Inawezekana hicho kitu unakijua kabisa kuwa kipo huhitaji uthibitisho au hukijui kabisa kinafananaje hivyo huwezi kukimbilia uthibitishiwe hicho kitu hata haukielewi,ndio maana nikakuuliza unaelewa vp uchawi kwanza?
Anza wewe kwanza kuthibitisha kwamba wazungu hawajui chochote kuhusu uchawi na hata majini hawayajui.Unaweza kuthibitisha hili? Tunaomba mifano
Kwani shetani ni nani na Mungu ni nani?Mchawi ni nani?
Jibu kinagaubaga...usilete story za Alfu lela Ulela
Karibu,
Kama mambo ya kipuuzi sio uchawi ina maana uchawi unaujua sasa kwanini unasema uchawi haupo au wewe ndo mchawi mwenyewe unajitetea?Mambo ya kipuuzi sio uchawi na kila race inafanya, onesha/ Thibitisha/Tukumbushe uchawi waliowahi kuufanya.
Kumbe unaiamini biblia na ndo ufahamu wako ulipoishia me nilidhani una ushahidi tofauti na biblia na hakuna kingine unachojua zaidi ya biblia!Kuthibitisha ni nini?
Lazima tukubaliqne kwamba uelewa wako na uelewa wangu wa uthibitisho ni ule ule.
Kwa sababu, bila kukubaliana, kirahisi sana naweza kukuambia kwamba, Mtume Paulo alieneza Ukristo.
Na uthibitisho ni Biblia imesema hivyo.
Hapo, hata kama hukubaliani nami, ukikataa nafasi ya ku define uthibitisho ni nini, utafanya mjadala mzima usiwe na maana.
Nitathibitishaje wakati wewe na mimi hatujakubaliana uthibitisho ni nini?
Tutafanya vipi "litmus test" wakati hatujakubaliana bado nyekundu ni ipi na ya bluu ni ipi?
Hao jamaa sometimes unaweza kuta sio watu ni majini kabisa.ooh hapo nimekupata sasa.
Kwa maana hiyo huu uchawi wetu sijui wa sumbawanga au sijui simiyu unaosifika kwao hao ni cha mtoto sana si ndio?
Hao jamaa sometimes unaweza kuta sio watu ni majini kabisa.
Unashangaza, wewe unayesema kitu flani lipo ndiye unayepaswa kuonesha hicho kitu ili tukione tuamini kuwa kipo.Anza wewe kwanza kuthibitisha kwamba wazungu hawajui chochote kuhusu uchawi na hata majini hawayajui.
Ipo wapi? Nioneshe nione kuwa ipoKwani shetani ni nani na Mungu ni nani?
Wewe jitoe ufahamu tu!
Tambuà ya kwamba kama kuna nuru na giza lipo
Kama kuna negative na positive ipo
Unajua kusoma kwa ufahamu?Kumbe unaiamini biblia na ndo ufahamu wako ulipoishia me nilidhani una ushahidi tofauti na biblia na hakuna kingine unachojua zaidi ya biblia!
Master of Wizardry Duh hii noma sanaWabongo wanaloga kisiri Siri, wenzetu uchawi unaheshimika.
Ni taaluma Kama taaluma nyingine.
Watu wanasoma mpaka wanahitimu na wanaajiliwa na wengine wanajiajiri.
Wenzetu wanatumia uchawi kufanya maendeleo makubwa Sana nchini mwao.
View attachment 1648846View attachment 1648847View attachment 1648848
Ah a haha a et Ministry Of MagicWabongo wanaloga kisiri Siri, wenzetu uchawi unaheshimika.
Ni taaluma Kama taaluma nyingine.
Watu wanasoma mpaka wanahitimu na wanaajiliwa na wengine wanajiajiri.
Wenzetu wanatumia uchawi kufanya maendeleo makubwa Sana nchini mwao.
View attachment 1648846View attachment 1648847View attachment 1648848
Aisee!mimi najua definition ya computer Ila nikitaka uthibitisho wa uwepo wa computer tafasiri yake ni kwamba sijui ni nini computer hivyo nitakiwa nipewe kwanza definition ya computer?Hapa umeandika kama mtu asiyejua nini mantiki ya uthibitisho maana ungejua kua uthibitisho ndani yake huanza na maelezo ya kuelezea keypoint ya swali "uchawi ni nini" usinge kurupuka kuandiia haya
Usitumie assumption kuniweka kwenye mhimili ambao akili yako imeulenga, kusema kwamba inawezekana hicho kitu nakijua hapo ni kulazimisha mtazamo wako uendane na fikra zangu
Wanapiga TAWIRE kwa kimombo kabsa!Wazungu wanawaga sana asikudanganye mtu,nimeshudia kwa macho yangu mwaka 2016 nilipokuwa California .
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Af yawezekana, umenifanya nifikirieInawezekana walipoleta dini kuna "chenji kota" tulipigwa
Aliyeitwa shetani ndiye Mungu na Mungu wakamwita shetani
Haimithiliki shetani awe msaada kuliko Mungu
Mfano wako hau relate na hoja yangu kiufupi uko irrelevantAisee!mimi najua definition ya computer Ila nikitaka uthibitisho wa uwepo wa computer tafasiri yake ni kwamba sijui ni nini computer hivyo nitakiwa nipewe kwanza definition ya computer?
Vijana bado hawaaminiYaan hawa watoto wa jf wananichekesha sana eti hakuna uchawi,,,guys usibishe uchawi haupo huku bado hujakutana na maswahibu ya kichawi,UCHAWI upo jamani acheni masihara
Tabu ni kwamba waafrika by nature tuna roho mbaya sana hivyo watu wataumizana zaidi kuliko kuutumia kimaendeleoMaster of Wizardry Duh hii noma sana
Kwa wenzetu kumbe ni taaluma kama taaluma zingine.
Serikali ya Mhe Dr John Pombe Magufuri inatakiwa ilione hili ikiwezekani vyuo vianzishwe kuanzia level ya chini kabsa mpaka level ya uprofesa.
Ili tuondokane na janja janja
sifa kubwa ya sisi wachawi ni unafiki tu baaasi. Ndiyo ilikuwa siraha. Ukiona mtu siyo mchawi lkn mnafiki. Anaandaliwa ktk ulimwengu wa giza au anatumika bila yeye kujua kama wewe una sifa zOte za kichawi. Au unatumika bila kujua eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeemtu anayedai uthibitisho dhidi ya jambo fulani nia yake apate kueleweshwa kutoka kwa mtu anayedai kitu hicho kipo
kulingana na namna ambavyo utathibitisha ndivyo nitakapopata concept ya kuuelewa