Hapo ukute huyo dogo aligoma kubebwa wala kushikwa, na ukimwacha peke yake ni hatari; mbwa naye usipomfunga mkanda yanaweza kuwa mengine na ukute sheria zao haziruhusu na ni kali. Kingine wapo mbali na nyumbani na huko haki na uhuru wa mtoto inazingatiwa kweli kweli.
Mama afanyeje? Kaamua kufanya kama alivyofanya ili mambo yote yaende sawia. Hivyo hakuna ukichaa ila ni wepesi tu wa kufikiria namna ya ku-solve tatizo kwa urahisi!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.