Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,417
Computer is a work of all races alisikika mrusi mmoja.Hao jamaa wana IQ ndogo na bado tunatumia vitu vyao hata kuwasiliana...shabash...computer na simu tunazotumia kupost mada humu za watu wa IQ ndogo
Watu wangekuwa wanafikiri hovyo hivi basi wastani wa IQ duniani na hasa Africa ungekuwa mdogo sana.Wasalaam wana JF
Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.
Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.
Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao
Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
Ndyooooo iko wazi.Kwa hivyo hawa wanawake tuliowaoa wanapotuletea shida wametuzidi akili?
Iko wazi sana, shida hizo zote zinaletwa na wazungu
kabla ya yote kabla hatujaendelea jua yafuatayo Warusi,Waukraine na Wamerekani sio wanzungu haya sasa tuendelee na madaWasalaam wana JF
Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.
Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.
Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao
Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
umeongea point.Hata Marekani watu hawajui siri yake wengi wao au tuseme wenyeji wa pale ni Red Indians hawa wengine wote ni watu wa kuja.Obama Mkenya,Trump mjerumani,Bush Ireland,Madeline Albraight aliyekufa juzi Czechoslovakia,Zuckeberg mwenye facebook Israel nk Marekani hawana uchoyo wa ku naturalise wageni kama mataifa mengine ndio maana anapata akili kubwa urusi hapa ndo wamebuma.Computer is a work of all races alisikika mrusi mmoja.
Kwenye kampuni zinazounda hivyo vitu research zinafanywa na watu wa mataifa tofauti walioajiliwa pale.
Mfano mwingine ni kwamba Manhatan project ilihusisha races tofauti waliounda team.
Teknolojia nyingi ni ushirika wa dunia, bila ushirikiano na kutumia watu wenye akili wa mataifa tofauti teknolojia za ulaya zisingefika hapo.
Mfano mwingine, space technology nguli wa hio teknolijia ni mchina ambae alifanya jazi NASA baadae akarudi jwa china na kuisaidia China kuweza kuinua hio teknolojia.
Wewe jana unaamini kika teknolojia wameikuza wazungu peke yao basi ni wewe kama wewe oka ikweli haupo hivyo, jitahidi kusoma ili ujue.
Mwanayansi mmoja anaitwa Michio kaku aliwahi sema" the weapon of USA is brain drain and scholarship"
Alisema siku Amerika ikiacha brain drain ndio utakuwa mwisho wake.
Nchi nyingi za ulaya mbinu yao ni kutoa scholarship kwa third world countries ili wavune akili zao, vile vile wanatoa ursia kwa watu potential.
Kama wana akili sana kwa nini watumie watu wa ulimwengu wa tatu?
Mleta uzi anaangalia mkate wake wa siku wakati Wazungu wamepiga mahesabu ya miaka hadi 20 ijayo.Aise, vipi wale wa mto Mara wasomi kutoa ripoti kuwa kinyesi cha mifugo kama ng'ombe kusababisha uchafuzi wa mto Mara ulio kaskazini magharibi mwa Tanzania na kusababisha samaki ndani ya mto huo kufa na kuleta mashaka ya usalama wa watu wanaotumia maji ya Mto huo kwa matumizi mbalimbali ya kila siku.
Mzungu akikupa hiyo research yake ya vita, itakuonesha mpaka result.
Can't disqualify even compare IQ ya mzungu na ya mbongo
Duuh kwa fact gan, ebu prove ulichokisema mzee babaaaWasalaam wana JF
Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.
Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.
Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao
Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
au basiHata mungu mwenyewe anatambua hilo kuwa wazungu ni......
na huyu ndiye mwenye akili kubwa eeh ndugu greatthnk kwanini imeachwa ipiganwe? Tutolee na mifanouna hitaji kuwa na akili kubwa, tena kubwa sana ili kujua ni kwanini hiyo vita ya ulaya kati ya baba na mwana imeachwa ipiganeβ¦...
UmemalizaLiberia, rwanda, somalia, sudan, afrika ya kati, cameroon, mali, nigeria, mozambique, congo,
Tuanze na hapa maana ni migogoro ya muda mrefu bado imetushinda. Usije sema wazungu ndio wanaichochea maana itakuwa ina maanisha kuwa wametushinda akili kiasi kwamba wanatumanipulate na hatuna la kufanya.
Tano hazikutoshi nafikiri kula kumi kabisa kabla hata sijasoma hongera sanaWasalaam wana JF
Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.
Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro kwa akili. Huwezi kumuua mbu kwenye korodani kwa kutumia nyundo.
Mpaka sasa hawa watu wameithibitishia dunia hawana akili na yote wanayo propagated kuhusu watu weusi ni propaganda za chuki zinazoongozwa na insecurities zao
Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
Tusimame pamoja waafrika, hao watu hawana akili na watatuletea madhila makubwa jinsi mambo yanavyoenda.
Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana.
One area in which Tolstoy excelled was the ability and willingness to change his mind based on new experiences. It was a skill he began nurturing in the 1850s when he was an army officer. Tolstoy fought in the bloody siege of Sebastopol during the Crimean War, a horrific experience that turned him from a regular soldier into a pacifist.https://projects.iq.harvard.edu βΊ war...
WAR AND PEACE by Leo Tolstoy | READING THROUGH A PANDEMIC
βI read Leo Tolstoy's War and Peace for my freshman seminar during the fall semester. The book was really meaningful to me because of the conversations I got to ...
Hao jamaa wana IQ ndogo na bado tunatumia vitu vyao hata kuwasiliana...shabash...computer na simu tunazotumia kupost mada humu za watu wa IQ ndogo