Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

Hii thread ya ajabu sana. Mtoa mada kaweka topic mezani ili Watu tujadili. Na Kwenye mjadala kuna kuwa na opposing na proposing side.

Ila ukichangia opposite na mtoa mada unaitwa wewe ni shoga, unapapaswa makalio na matusi mengine kibao.
Wwe msenge acha blah blah
 
Ndo maana tumeshajua msimamo wako uko wapi,huwezi kua sehemu ambayo hauna furaha nayo,sehemu inayokuudhi,maadamu umeamua kuchagua upande huo kila la kheri.

What are you saying lady??
Be serious. Unamfahamu HUGH HEFNER?? He is a big Advocate of gay rights, is he gay ??
 
Barrack Obama is an advocate of same sex marriage is he gay??
Usikute wanao muunga mkono mtoa mada ndio mashoga wanajificha kujidai kumuunga mkono mshana jr
 
Usiseme wazungu sema vijana wameharibika kwa kuwafata wazungu
Hata hivyo wazungu hawana Makosa ni sawa na mzungu kutengeneza hela halafu laana zote zitokanazo na matatizo ya hela ukamtupia yeye!!Tatizo ni nchi zetu wenyewe kwa kuruhusu kila kitu ambacho kinafanywa ulaya kifanyike uku!!!Haya mambo hayajaanzia hapa toka B.C yalikuwepo biblia inaonesha Sodoma na Ghomora yalikuepo!!Unaweza ukazitafuta na kuone zipo bara lipi!!Wazungu kwa sababu wanalinda haki za binadam na kutetea haki zingine zilizokinyume na tamaduni zetu ndo maana wao wamefikia hali hiyo waliokua Nayo!! Dunia nzima hawa watu wenye disoders wapo useme wanafichwa na sheria Kali na misimamo mikali!!Nchi inayowasapot wanajitokeza kwa wingi wanatoka wapi ndo ujue walikuepo wamejfcha!! Kuzuia hili serikali ni kuweka msimamo Mkali dhidi ya uvunjifu wa maadili!!
 
Ndo maana utasikia kunamtu anabanduliwa na wala hajawahi vaa vitu vya kikee!!
 

Mkuu nakubaliana na wewe kwa upande mmoja kwamba hawa Watu wapo na walikuwepo. Sio kweli kwamba tabia hii imeletwa na wazungu wao ni kwamba wapo mstari wa mbele kutetea haki za hawa jamaa.

Pili ni kweli kwamba tendo hilo lipo kinyume na utamaduni wa kiafrika. Ila tusisahau kuwa tamaduni zetu hazipo perfect 100%. Kuna mambo mengi tamaduni zetu zinatetea ila sio kwamba ni sawa na ni haki. Kwa hio tukubaliane kuwa kuna sehemu pia tamaduni zetu zimechemka.

Tatu kupitisha sheria za nchii sio suluhishi. Kuna sheria za nchii ambazo zinapitishwa ila ni sheria za ukandamizaji, unyanuasaji na uonevu.
 
Nashukuru kwakua unachambua kwa marefu na mapana
 
 
Haha hah utamuweza na ww ushakua *****
Siwezi kubishana na akili Kama zako mtu asiye na uwezo wa kufikiri.
Instead of expanding on the topic at hand unakuja kurusha matusi. Get off my dick !!
 
Sure bro siki hizi binti wa kike akikuletea boyfriend shukuru Mungu pia maaana utashangaa wa kiume anaeza kukuletea boyfriend what will ya do ??

God forbid
 
Mleta mada haungi mkono tabia hizo!kila ukiona humu jf mtu anakuja na kuwatetea basi ujue ndy wale wale!na kupitia Uzi huu mashoga wengine ambao wako jf tutawajua tu
Usikariri Mkuu kunawengine wanapinga vikali kumbe ndo wenyewe na wengine wanawatetea lakini siyo!!Mara nyingi Ndiyo siyo na Siyo ndiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…