The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Jina Wazungu ni jina jumla kumaanisha "wazungukaji" jina hili lilitokana na ngozi nyeupe kuitembelea Afrika kwenye vipindi mbali mbali.hivyo jina Wazungu ni jumla sio wale wa bara la ulaya ambao ndio kama wamelibeba jina hili Kwa Sasa.
Kabla sijalijibu swali hili naomba niwaulize wale wabishi swali Moja.
Hivi Hawa kuku a kizungu muwaitao Broilers wanatokana na Nini❓ Kuku wa miezi2 tayari analiwa wanatokana na Nini,uliwahi kujiuliza❓ Lakini ni viumbe hai sindio? Haya endelea kutafakuri jawabu
Sasa tuendelee na hoja yetu ya msingi
🔹Kuna kitu kinaitwa Genetic Engineering Yani uhamishaji na uchanganyaji wa Vinasaba/DNA ama Viasili /Gene.
Zoezi la uhamishaji viasili kutoka kiumbeA kuja kiumbe B hutokea kiumbe mseto (hybrids organism) kiumbe hicho Huwa kinakua na 40-95% kulingana na asili ya hicho kiumbe kilichotolewa izo DNA. Sasa hili somo nikama nalirudia tu hivyo sitaenda mbali Kwa Leo
🔹Nilisema Enki na Yahwe walihusika kuleta kizazi kipya Cha ngozi nyeupe hapa duniani chini ya miaka 15000 iliyopita walianza mchakato huo wa kuwatumia Bibi na babu zetu Kwa kuwakusanya pamoja kwenye maeneo mawili Moja ikiwa ni nchi ya Georgia ya Leo kwenye safu za milima caucas na eneo jingine ni Kisiwani Patmo au pelan kisiwa kilichopo ktk bahari ndogo ya Aegan nchi ya Ugiriki karibu na Uturuki pia.
👇Kwa wasomaji wa biblia kitabu Cha mwanzo 1:26-27 inasema"26 mungu akasema tumfanye mtu Kwa mfano wetu ,Kwa sura yetu 27 mungu akaumba Kwa mfano wake,Kwa mfano wa mungu aliumba mwanaume na mwanamke.
Mstari wa 26 unasema tumfanye," lakini wa 27 inasema mungu akaumba😄
▪️Nakufungulia code,ni hivi
Mstari wa 26 ni makubaliano ya hiyo jamii ngeni iliyoongozwa na ENKI pamoja na ENLIL ndugu wawili Yani viongozi wa msafara kutoka planet X(Nibiru) isiyofundishwa mashuleni kwani imebeba Siri nzito
Mstari wa 27 ni kila mmoja akaumba Kwa nafasi yake ikiwa Enlil/Yahwe akiwa nchini Georgia huku Enki/Jehoval yeye akiwa Kisiwani Patmos.
▪️Ukisoma Ufunuo wa Yohana 7-10 (Watu 144000 wawekewa muhuri) Nini kilitokea? Nikwamba ENKI na ENLIL waliwachukua Bibi na babu zetu 144000 ambao waliwatawanya ambapo ENKI aliwachukua wazee wetu 12000 tu akawapeleka nchini Georgia na ENLIL /YAHWE akawachukua Bibi na babu zetu 132000 akawavusha hadi Kisiwani Patmo , jumla walichukua Idadi ya makabila 12 ambao baada ya mchakato mzima zikazaliwa lugha mpya 12 lugha mseto
✍️Kwanza kabisa ni muhimu kufahamu kwamba MTU MWEUSI ndani yake anayo maumbile mawili
1.maumbile Meusi (DOMINANT BLACK GENE)
2.maumbile ya Mwanga yaliyogandizwa(RECESSIVE LIGHT GENE)
👉Iko hivi,ikitokea maumbile ya Mwanga yakasogea mbele kutokana na changamoto za kiafya za mama ama baba ama wote wawili pasipo uthibiti maalumu basi mama atazaa mtoto ALBINO
👉Lakini Albino pamoja na vile alivyo bado anakuwa ni mtu mweusi asilia haotezi ASILI yake Kwa sababu ana maumbile yanayotawala ndani yake Yani Dominant Black Gene hivyo anaweza kuzaa mtoto mweusi
👉Ni Albino Kwa sababu Gene /Jeni zinazozalisha Melanini Yani kemikali ya mwili inayothibiti rangi binadamu mweusi inakua juu zaidi ya kiasi Cha Melanini ambayo kazi yake ni kutoa rangi ya ngozi ya binadamu.
👉Lakini Kwa upande wa Ngozi nyeupe(wazungu wote/NON BLACKS) ndani Yao hawana maumbile yanayotawala maumbile(dominant Black Gene) Hawa Wana maumbile ya aina Moja tu ndiomaana hujawahi kuona ama kusikia popote wazazi wawili wangozi nyeupe iwe muhindi Kwa muhindi iwe mchina Kwa mchina au Mzungu wa ulaya Kwa Mzungu mwenzie wakakutana kimwili na kuzaa Mtu mweusi,hii ni Kwa sababu ya ukosefu ya maumbile Meusi Yani MELANIN.
sasa twende kujibu swali letu lisemalo ngozi nyeupe ilitokea wapi?
Nihivi! 👇
👉Mchakato wa kupata jamii ya Watu weupe ulifanyika Kwa awamu nne/4 tofauti na katika hatua hizo nne hatua TATU/3 zilichukua miaka 200 kila hatua Moja lakini hatua ya 4 yenyewe ilitumia miaka 66 tu kukamilika.
👉Baada ya kuwachukua wazee wetu na kuwapeleka maeneo ya Georgia na Kisiwani Patmos ambako Idadi kubwa ya wazee wetu ilikuwa kule Kisiwani patmosi wakiwa 132000 Elfu ikiwa kule Georgia ilikuwa ni 12000 tu basi SHERIA YA UDHIBITI ilichukua nafasi kwamba
🔹Kwanza ilichukuliwa DNA za Nyani aina ya Rhoses Pichani anaonekana vizuri ikaingizwa kwenye DNA za Bibi na babu zetu Kisha wakalazimishwa kuingiliana kimwili hapo wakaanza kuzaa watoto weusi ambao haohao watoto weusi walipoendelea kuzaliana Kwa muda wa vizazi 7 Yani miaka 200 wakazaliwa jamii ya kwanza watoto wenye rangi ya KAAWIA(maji ya kunde)
🔹Watoto hao wenye rangi ya KAAWIA(maji ya kunde ) wakiwa na nywele ndefu kiasi Walihimizwa kuoana wenyewe Kwa wenyewe Mpaka kuzaa watoto wenye ASILI ya mtu mweusi lakini ngozi Yao ikiwa ni nyeupe (light skinned) Hao watoto wakaendelea kuzaliana watoto wenye ngozi nyeupe hadi ilipofikia vizazi 7 Yani miaka mingine 200 na hapo ikafikia mwisho wa maumbile Meusi yanayotawala yalipoondolewa Yani Ile Dominant Black Gene ikapotea
🔹Lakini baada ya kufikia hicho kizazi Cha 7 ambapo yaliondolewa maumbile Meusi yanayotawala katika kizazi Cha 8 wakati huu ndipo zilizaliwa jamii za kwanza kabisa za Watu weupe (non blacks) ambao nao Walihimizwa kuzaliana Kwa vizazi vingine saba Kwa miaka mingine 200 ikazaliwa jamii ya pili ya Watu weupe
🔹Hivyoivyo jamii ya pili iliendelea kuzaliana ikatokea jamii ya TATU ya Watu weupe ,hivyo ivyo jamii ya TATU ikapitia mchakato uleule wa kuzaliana isipokua hii jamii ya TATU Sasa iliyokuwa ktk kisiwa Cha Patmos iliishia hapo kwenye jamii ya TATU ambapo mchakato huu ulienda sambamba na Ile Idadi iliyopo nchini Georgia ambayo hadi kufikia mwaka wa 600 watafiti wanasema msimamizi wa uumbaji huo aitwaye ENKI na mwanae MARDUKU (Jehova) wao waliongeza DNA za aina Fulani ya Mbwa ambapo kule hapo nchini Georgia ikatokea jamii ya 4( nne) ya Watu weupe WAZUNGU(Caucasians) ambao hii ilikuwa tofauti na wenzao wa kule Kisiwani kwani Hawa walitumia miaka 66 tu kukamilisha uumbaji huo wa sayansi takatifu ya kuhamisha viasili hivyo ukichukua Ile miaka 200 jamii ya awali+200jamii ya pili+200 jamii ya tatu +66jamii ya nne=666 Yani MARK OF THE BEAST.
Wazungu huitwa Caucasians Kwa sababu walitokea kwenye safu za milima caucas nchini Georgia
👇Kwa hiyo mtiririko ulikuwa kama ifuatavyo
1.watu weupe wa Mediterranean/kusini mwa ulaya wagiriki,walatini,wahispania,wareno na jamii za south America walipitia miaka 200
2.jamii ya pili ikafuata ni ya mashariki ya kati (semitics ) Yani waarabu,Wayahudi,waajemi,Wahindi weupe nao walipitia vizazi 7 miaka 200
3.jamii ya TATU kuzaliwa ni ya Asia kama wachina,wajapan,wamongolia,wakorea,Thailand,philipino,Malaysia n.k pia nao walipitia vipindi 7 miaka 200
4.wazungu wa ulaya magharibi ambao Hawa walichakachuliwa zaidi walitumia miaka 66 tu ,ndio jamii ya mwisho na hadi Leo jamii hii inamiaka chini ya 6000 tu Tangu uwepo wao
👉Ukweli uliowazi jamii za Watu weupe duniani ambao zipo Kwa Sasa zilizaliwa au kutokea kupitia mchakato wa SHERIA YA UDHIBITI MAALUMU wa kuzaliwa Kwa watoto WEUSI Kwa muda wa miaka 666. Ambapo kwenye Elimu ya namba(numerology ) 6+6+6=18(1+8=9) hivyo 9 ni ukamilifu wa uumbaji.ndiomaana mtu mweusi ana 6neutron 6electron 6proton ambazo ni sawa na namba 9 kama kanuni ya maumbile.
👉Ukisikia wakristo wa ulaya magharibi na Hawa wa mchongo wa afrika wakisema Yahwe aliumba ujue inamaanisha kweli Yahwe(Enlil/YAKUBU au ktk biblia amejipambanua kama Yohana aliumba kweli na ukisikia Wayahudi wa Israel wakisema Jehova aliumba TAMBUA ni kweli kwani mungu wa Wayahudi ni Jehoval (ENKI na mwanae MARDUKU) ila mwandishi wa biblia Kwa lengo lilelile la kutaka Afrika na Asia waamini ktk dhana ya Mungu mmoja kama kiumbe ikabidi wachanganye jina la Yahwe na Jehova kuwa kama sifa tu za kile Chanzo Kikuu.
Note.
▪️ngozi nyeupe yote duniani inamiaka chini ya 10000 tu
▪️.miaka zaidi ya Elfu kumi15 utafiti unaonesha mtu mweusi mwenye UMRI zaidi ya LAki mbili hapa duniani alipata kuishi kuanzia UMRI 0 hadi miaka 1200 kabla ya uharibifu wa ngozi nyeupe Kuja kuathiri blood Group zetu Yani kundi letu la damu ambalo ni O- kuja magroup mapya7 hivyo kufika8 hapo miili yetu ikaanza kuwa dhaifu,hata Enki na Yahwe waliishi miaka zaidi ya 760 hapa duniani na walifika hapa hapa duniani.
✍️Naligia Mninoi