BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,371
Siwezi kulala na Puu chumbani !Civilization ni kiashiria kizuri cha intelligence wenzetu wametupiga gap katika vitu vingi Moja wapo ni hili la self contained room japo hata sisi kwa Sasa tumeamua kwenda nao sambamba ila muanzilishi ana baki kuwa muanzilishi na tutawajibika kumpa credit zake.
Choo Cha kushare kina changamoto zake kubwa zaidi ni uchafu pia kwa mahusiano ni hatari kinaweza kuvunja ndoa.
Kwa mfano mimi leo nimeingia majaribuni kutamani mali ya mwenzangu kama mnavyojua wenge la kuamka asubuhi ukiwa umebanwa na haja ndogo nimetoka nduki kwenda toilet bila hodi nasukuma mlango namkuta mke wa jirani yangu akiwa anaoga japo ni kitendo cha sekunde kadhaa na kama mnavyojua macho hayana pazia image ya mwili wake akiwa mtupu yote imebaki kichwani.
Ikabidi ni apologize lakini mpaka saa hivi nikipishana naye akiwa kavaa nguo picha ya kwanza nayopata ni ile akiwa anaoga na shanga zake mbili kiunoni nyekundu na nyeupe.
Kuishi kwenye self contained room ni more safe na privacy ni hali ya juu kwa wale wenza wanaopenda kwenda kuoga kwa pamoja ni friendly kulinganisha na bafu la public.
Alijisemeaga mzee majuto, hawezi kulala na mimavi chumbani hahahaSiwezi kulala na Puu chumbani !
ko umeshndwa kushka hata kalio mke wa jiran mkuu.Civilization ni kiashiria kizuri cha intelligence wenzetu wametupiga gap katika vitu vingi Moja wapo ni hili la self contained room japo hata sisi kwa Sasa tumeamua kwenda nao sambamba ila muanzilishi ana baki kuwa muanzilishi na tutawajibika kumpa credit zake.
Choo Cha kushare kina changamoto zake kubwa zaidi ni uchafu pia kwa mahusiano ni hatari kinaweza kuvunja ndoa.
Kwa mfano mimi leo nimeingia majaribuni kutamani mali ya mwenzangu kama mnavyojua wenge la kuamka asubuhi ukiwa umebanwa na haja ndogo nimetoka nduki kwenda toilet bila hodi nasukuma mlango namkuta mke wa jirani yangu akiwa anaoga japo ni kitendo cha sekunde kadhaa na kama mnavyojua macho hayana pazia image ya mwili wake akiwa mtupu yote imebaki kichwani.
Ikabidi ni apologize lakini mpaka saa hivi nikipishana naye akiwa kavaa nguo picha ya kwanza nayopata ni ile akiwa anaoga na shanga zake mbili kiunoni nyekundu na nyeupe.
Kuishi kwenye self contained room ni more safe na privacy ni hali ya juu kwa wale wenza wanaopenda kwenda kuoga kwa pamoja ni friendly kulinganisha na bafu la public.
Ustaarabu wa wazungu mnatuletea huku Wamatengo, mimi nikiwa na mume wangu tunachukua hoteli yenye choo cha nje. siwezi lala na puu , tena mbaya unakuta puu ya mtu mwengine kakuachia alikula chips maini inanuka kama sumu ya mamba iliyooza.Alijisemeaga mzee majuto, hawezi kulala na mimavi chumbani hahaha
Tena kule umatengoni milimani saa nyingine mnaenda kumaliza haja zenu kwenye mikahawa hahahaUstaarabu wa wazungu mnatuletea huku Wamatengo, mimi nikiwa na mume wangu tunachukua hoteli yenye choo cha nje. siwezi lala na puu , tena mbaya unakuta puu ya mtu mwengine kakuachia.
Sasa hapo kuna kosa gani?Civilization ni kiashiria kizuri cha intelligence wenzetu wametupiga gap katika vitu vingi Moja wapo ni hili la self contained room japo hata sisi kwa Sasa tumeamua kwenda nao sambamba ila muanzilishi ana baki kuwa muanzilishi na tutawajibika kumpa credit zake.
Choo Cha kushare kina changamoto zake kubwa zaidi ni uchafu pia kwa mahusiano ni hatari kinaweza kuvunja ndoa.
Kwa mfano mimi leo nimeingia majaribuni kutamani mali ya mwenzangu kama mnavyojua wenge la kuamka asubuhi ukiwa umebanwa na haja ndogo nimetoka nduki kwenda toilet bila hodi nasukuma mlango namkuta mke wa jirani yangu akiwa anaoga japo ni kitendo cha sekunde kadhaa na kama mnavyojua macho hayana pazia image ya mwili wake akiwa mtupu yote imebaki kichwani.
Ikabidi ni apologize lakini mpaka saa hivi nikipishana naye akiwa kavaa nguo picha ya kwanza nayopata ni ile akiwa anaoga na shanga zake mbili kiunoni nyekundu na nyeupe.
Kuishi kwenye self contained room ni more safe na privacy ni hali ya juu kwa wale wenza wanaopenda kwenda kuoga kwa pamoja ni friendly kulinganisha na bafu la public.
picha ya lock sink tafadhaliSelf ni nzuri ila maji yawepo ya kutosha na kiwe na lock sink harufu isiwepo yani uweze ata kulala umo
Hahaha......ukute mwenzio ndani anaharisha sasa......ile sauti ya Tatataaa....fyuuu! Unazisikia kama ni demu wako na mzuka unakata.Ustaarabu wa wazungu mnatuletea huku Wamatengo, mimi nikiwa na mume wangu tunachukua hoteli yenye choo cha nje. siwezi lala na puu , tena mbaya unakuta puu ya mtu mwengine kakuachia.
Labda ila haikuwa kusudiLakini pia inabaki kuwa Wewe huna Cautiousness! You failed, still you portray your shame!
Unalalaje wakati kitu una flush na majiSiwezi kulala na Puu chumbani !
Unaingia chumba saa moja usiku unakuta kuna jamaa katoka kuacha puu yake chumnba kinanuka wanakuja wahudumu wanapulizia air fresher wapi, jamaa unakuta usiku wake alikula chip maini puu inanuka kama sumu ya mamba.Alijisemeaga mzee majuto, hawezi kulala na mimavi chumbani hahaha