Kiiza, evidence! please and please evidence!lakini ukweli Wazungu wapo nyuma ya mipango hii.
Nyie mnasingizia wazungu hata jambo ambalo liko wazi Bashir 'dug his own grave' like other African leaders kama M7 PK nk, na uchumi wetu kushuka mtasingizia wazungu hi wakati hali inaonekana wazi kwamba Raisi wetu hajui masuala ya uchumi kabisaWazungu watu wamipango Sana tazama walivyochezesha karata zao hadi kumng'oa Omar Al Bashir kwa sura yakawaida tunasema ni kutokana na maanano ya wananchi, lakini ukweli Wazungu wapo nyuma ya mipango hii.
Picha akiwa ananyolewa nawafungwa wenziye.
Nasikia anapelekwa ICC View attachment 1076814
Nyie mnasingizia wazungu hata jambo ambalo liko wazi Bashir 'dug his own grave' like other African leaders kama M7 PK nk, na uchumi wetu kushuka mtasingizia wazungu hi wakati hali inaonekana wazi kwamba Raisi wetu hajui masuala ya uchumi kabisa
Hawataki kuonekana wanaingilia utawala wa nchi ukizingatia jamaa wana mafuta unadhani Janjaweed ulikuwa mradi omar pekeeKama ni wazungu kwa nini wasimng'oe tangia zamani hizo ambapo alikuwa,akifanya mauaji ? Tusiwe na akili fupi hivi
Uchumi wetu upo-controlled na DAB na Babaye!Nyie mnasingizia wazungu hata jambo ambalo liko wazi Bashir 'dug his own grave' like other African leaders kama M7 PK nk, na uchumi wetu kushuka mtasingizia wazungu hi wakati hali inaonekana wazi kwamba Raisi wetu hajui masuala ya uchumi kabisa
Kujiamini" ndio kosa gani mkuu!!!Acheni kuwasingizia wazungu
Bashir alijitakia mwenyewe
Alijiamini sana
Ova
Wakimng'oa kabla hamjielewi italetashida, vizuri wakasubiri kwanza mpigike ili ukiambiwa kwann atoke, ubishi unakua haupoKama ni wazungu kwa nini wasimng'oe tangia zamani hizo ambapo alikuwa,akifanya mauaji ? Tusiwe na akili fupi hivi
Unatukuza wazungu jikubali amini unaweza sio lazima aje mzungu..hizo fikra ni za kibwegeWazungu watu wamipango Sana tazama walivyochezesha karata zao hadi kumng'oa Omar Al Bashir kwa sura yakawaida tunasema ni kutokana na maanano ya wananchi, lakini ukweli Wazungu wapo nyuma ya mipango hii.
Picha akiwa ananyolewa nawafungwa wenziye.
Nasikia anapelekwa ICC View attachment 1076814
Chukua ubongo anika Juani inaelekea umeshikamana au umeganda au fungus unawabeza wazungu ujioni hata device uliyoitumia wametengeneza wao unakuja hapa na akili ndogo kuobgea rubish get out of here.Unatukuza wazungu jikubali amini unaweza sio lazima aje mzungu..hizo fikra ni za kibwege