wazungu waficha madini chini ya mito

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,592
Reaction score
243
nime meambiwa na mzee mmoja mmishenary wa kiafrika kuwa wakoloni hasa wa german walificha chini ya ardh hasa chin ym mito isiyo kauka kitu kinacho julikana kama [tunu] yaan ni mzigo mkubwa wenye dhahabu almas na nk .je kuna mtu ana ukwel kuhusu hili?
 
Hata sijui tudiscuss nini hapa yaani.

OK, eeh ndio ni kweli kabisa walificha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…