Waarabu pia walileta utumwa!Wahindi nao walinyonya wengine kama walivyofanya wakoloni na wenye kuendesha biashara ya utumwa.
Ufisadi upo toka enzi na enzi hadi leo.... siyo wahindi tu.
All in all..maovu ni maovu hakuna afadhali -UKOLONI, UTUMWA,UFISADI vyote ni vibaya.
Aliye bora ni wewe mwenyewe ulivyo na maisha yako utakavyoyaendesha, bila kujaribu kutafuta kwanini una hali duni, ni nani alikusababishia... ni mzungu, mwarabu au mhindi.