wazungu wa misaada, mashule business... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wazungu wa misaada, mashule business...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mbongopopo, Feb 21, 2011.

 1. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jana nilitembelea website ya Haven of peace academy ipo Mbezi beach, dar ilikuwa inaomba donations watoto wapate scholarships ila inaelekea huko USA wanaiongelea kama ni msaada kwa watoto wa tz wakati ni msaada kwa wenye mamillioni kulipia watoto.

  Mie sielewi kwa nini wanaruhusiwa kuja kujitajirisha hapa Tanzania

  School fees yaanzia dola $5000 kila level inapanda hadi over $7000

  Hizi pesa wanafanyia nini je zinasaidia shule za masikini?

  Kama ni wa kanisa huko usa kwa nini waje hapa ku charge pesa nyingi au ku target wenye nazo na kutosaidia wanaohitaji misaada?

  Kwnye necta shule haimo je haifanyi mitihani ya wote?
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
   
 3. l

  lily JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata mimi nashangaa sana, kuna ndugu yangu anaombaga misaada huku majuu ya kujenga shule kwa ajili ya kusaidia watoto wasiojiweza lakini amefungua shule kibao ya fee yao ni miliion kumi kwa mwaka, je huu ni msaada au ni busagundulika bsiness? i hope at atagundulika soon! coz is not fair anasomesha watoto wa matajiri na msaada kapewa kwa kusaidia watoto wasio na uwezo!(RC)
   
 4. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wanaomba donations , ulaya wakiomba pesa kamwe hawataji kuwa kuna matajiri pesa zinapoenda na ndio ilivyo

  si uingie kwenye website yao uone mbona umekunwa akili sio kukaa na walaji kujua kinachoendelea

  ok ndio maana hawaonekani necta

  mie nephews na nieces wangu wote wamo kwenye mashule ya mamilioni ila kukutana na shule inateggemea misaada ya watu mmmhhh as fees ni kubwa sanaaaaa na pesa zinaingia kwao

  kama wanasaidia maskini wapi waseme basi, wazungu wao watadhani hiyo fees ndio wanachangia wao hao watoto wasome kumbe mmmmmm
   
Loading...