Wazungu na ziara za Rais Samia Suluhu

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Wametoa mchoro ambao binafsi nimeshindwa kuusoma na kuelewa.

Naomba wenye uweledi mtusaidie kutuelewesha nini wamekusudia hawa mabeberu.

 
 
Akili zenyewe zi wapi zilishaondoka kwa kukong'otwa na wananchi wenye hasira!
Pole sana ila leo hii ndiyo akili itakurudia baada ya kuchagua picha ya piramidi na wewe kukabidhi tanzanite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…