mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
- Thread starter
-
- #21
Je, uko teyari kufall in love na mzungu au na wewe unawaogopa kama dada Dena Amsi?......ha ha haaaa...labda muonekano wa mambo mengine,ila kwa mavazi naona tunatofautiana kimtazamo na wazungu,sie huku kuvaa sketi ndefu na nguo zinazostahi mwili ni heshima wakati kwa mzungu ni kituko,akija na joto la Dar haexpect uvae nguo hizo,badala yake nguo zile fupi,vikaptula nk ili usife na joto,.....
Dada hapa hatuongelei ubaguzi ila tunaongelea hisia za kimapenzi kutoka kwa wazungu wanapofall in love na waafricamapenzi hayachagui mweusi wala mweupe acheni ubaguzi wenu hapa.........
Dada hongera kama umelijua hilo........nilifikiri ujui. Lakini ni kweli wanapenda hako kamtindo au ndiyo maneno ya watu?
umeongea vyema mami,mavazi ni mavazi tu hayamnasibishi mtu na chochote kile,sijui tutakuwa lini kila mmoja anauashi wake kwenye mavazi kama unavaa ndefu mwenzio fupi,pana mwenzio yakubana....
Mmmh....Dada angu wewe!.....kumbe nikitaka kukuona ni lazima niingie kwenye postNafikiri ni mazingira wanayokutana.
Mmmh....Dada angu!...Hao wakaka wa kibongo walikufanyanini mpaka unaongea hivi? Na kwa huyo babu wa kizungu utafata pesa tukah mie walivyo nitoka hawa wakaka wa bongo naomba mungu nipate hata kibabu kilichoisha meno hata ikiwezekana na fizi zimeanza kungooka
as long as i will find my happiness there ooh my God will go fo it na sitajali hata kidogo
hapo nimekuelewa mpenzi na hao unaowazungumzia ni macriminal hao,wenye heshima zao huwa hawafanyi hivyo na hata wakioa wazungu wenzao huwa wanaoa wenye tabia kama zao,nilidhani vimini nikasema looo jamani mnatuonea maana wengine tunajijua wenyewe mpenzi maguo mapana na marefu yamezidi sana juu ya goti.....Shosti hatuzungumzii kuvaa kimini au skin jeans mbona hata sie tunavaa tu lakini Shosti wewe huwezi ukavaa kimini ukafanana na hao wadada wanaokuwa na wazungu mara matatoo, mara mavitu vitu wamejiwekea mwili mzima ya ajabu ajabu. Vimini mbona kwa sana tu lakini sio kama vya hao bana
Mmmh....Dada angu!...Hao wakaka wa kibongo walikufanyanini mpaka unaongea hivi? Na kwa huyo babu wa kizungu utafata pesa tu
au mapenzi ya kweli toka moyoni kwako?
Mmmh....Dada angu wewe!.....kumbe nikitaka kukuona ni lazima niingie kwenye post
za malavi penzi.....vinginevyo....sikuoni ng'o. karibu na kwenye topic za siasa pia....... lakini Je, ujambo?
Shosti hatuzungumzii kuvaa kimini au skin jeans mbona hata sie tunavaa tu lakini Shosti wewe huwezi ukavaa kimini ukafanana na hao wadada wanaokuwa na wazungu mara matatoo, mara mavitu vitu wamejiwekea mwili mzima ya ajabu ajabu. Vimini mbona kwa sana tu lakini sio kama vya hao bana
Haya ndo wanayoyakimbilia. Huyu Kili mume wake mzee fulani, ambaye hana hata meno. ukimkuta qbar, utacheka kweli
Ni marachache sana kukuta mwanaume wa kizungu akiwa na demu wa kibongo(mbantu) aliyetulia,mwenye kujiheshimu,mwenye elimu au hata mwenye kazi mzuri.
umejuaje mdau nalitoa nalianika juani ila kila kitu napata shida gani....unajuaje inaonekana na yeye ana libabu la kizungu ambalo halina hata meno