Wazungu kwa kupenda ngozi

Wazungu kwa kupenda ngozi

mbona mii na wasiwasi na ngozi ya haka kadada?
Usoni na shingoni ni tofauti na mabegani na mikononi! Sio atakuwa mbongo-mzungu.
Akina dada wakujichubua mpoo?

Mkuu hiyo wenyewe wanaiita TAN, wanaipata baada ya kulala kwenye jua kwa kipindi kirefu wakiwa wamepaka sun cream inayoendana na mwili wake to avoid burning.. inawezekana hiyo cream hapaki sana. Na huyo inawezekana yuko nchi za tropical
 
Ile habari ya nyuzi joto 37 Kwa mwili wa binadamu imebadilika? Mweusi ana joto la nyuzi joto ngapi?

Mzungu ana nyuzi joto ngapi? Mwalabu je ana nyuzi joto ngapi, Mkuu MziziMkavu?

You're ingenious nimeipenda hii mkuu, wanaosemaga hayo mambo sijui wanayatoa wapi? Hear say ni mbaya sana. Jaribu ujue.. No research no right to speak
 
Nimechoka na wanawake wa kibantu, ngoja na mimi natafute mzungu wa kubalisha menu.
 
Back
Top Bottom