Mkuu alituambia wanaume wakizungu hawacheat, tena alitupa na formula ya kumpata mwanaume wa six figure pay cheque.Kama mlimuamini mazima basi mnasikitisha sana na yeye huenda aliwadharau sana..
Mkuu alituambia wanaume wakizungu hawacheat, tena alitupa na formula ya kumpata mwanaume wa six figure pay cheque.
Alitueleza kuna power of ........ ambayo vikolobwezo vyake ni pamoja na education is sexy pia unaolewa na mwanaume kijana mwenye uwezo wa kukutunza hufanyi kazi, viatu unavaaLakini na nyie...wanaume wa Kizungu hawachiti kivipi?
Bill Clinton siyo mzungu? Arnold Schwarzenegger siyo mzungu? Donald Trump siyo mzungu? Larry King siyo mzungu?
Waliomwamini nawasikitikia sana.
Kuna rafiki yangu alimpata mwanamke kwenye mtandao, wakaagana jioni wakutane wagegedane sasa kufika jioni huyu demu alimtext mshkaji wangu. Na kumwambia ana bf wake nae anataka kuja kugegedwa yaani huyu demu bf wake shoga kwahio hao wazungu wana mambo ya maajabu utashangaa ukiambiwa.Kuna rafiki yangu aliolewa na mzungu, alimuopoa mzungu toka kwa mdada mmoja wa kiafrica nchi jirani huko, kweli tuliona kapata bwana wa maisha maana alisema wazungu hawana mambo ya michepuko.Hata miaka haijaisha mitano kamuacha best yetu yupo na mchepuko mwingine wa Africa.
Tena huo mchepuko ulishafanya hadi movie za X ukienda Utube zipo kibao, wakwe wametumiwa picha na hyo mdada alieachwa za X na za huyo hawara wa mume wamesema haina shida, wamempenda mkwe mpya amuache tu mtoto wao.
Sasa najiuliza hawa wazungu vipi? Wanatuchukuliaje sisi waafrica? Kuna mapenzi kweli? Nasikia wazungu wanatumia waafrica vibaya sana.
Tungeambiwa kila neno baya na vile sisi ni weusi we acha tuSijaiona mwaya. Ila mzungu kanishangaza, angekuwa mwanaume wa Kiafrika ndo kafanya hivyo mbona angekoma; angeambiwa tabia za kitandale, mswahili blah blah blah. Sasa mzungu ni wa uswazi au mwafrika? Kweli tabia haina rangi
Hahahaaaaa....mimi sina hamu na ngoz nyekundu hizo ni mashetaniKuna rafiki yangu alimpata mwanamke kwenye mtandao, wakaagana jioni wakutane wagegedane sasa kufika jioni huyu demu alimtext mshkaji wangu. Na kumwambia ana bf wake nae anataka kuja kugegedwa yaani huyu demu bf wake shoga kwahio hao wazungu wana mambo ya maajabu utashangaa ukiambiwa.
Aaah...kwani vipi jamani leo wadhungu mnawageuka?? Tuwaeleweje sasa au ndio ile sizitaki mbivu hizi...hapa kukikuwa na mfurulixo wa threads za kusifia wadhungu na.kuponda blacks wenzenu kwani imekuwaje??kuna dada aliolewa uk mzungu alikuwa anakuja na marafiki zake anasex nao wote mbele nyuma wazungu wabaya sanaeti
Wajinga ndio waliwao, maana na tule tupicha twa hapa na pale basi mkaona mwanaume kapata na nyie mkataingia msituni kutafuta....sijui nini kikiwatokea hadi mka retreat??watafute tu ila tumejifunza
alisababisha watu tukaona kuolewa na weusi ni laana
unajua kapotosha wangapi?
Hawawezi kukosa wote sababu kila mtu ana fungu lake,anaweza kumfisidi kumtoa kwa mzungu akampata bora zaidiAnataka wakose wote....hahahaaa...
Du na %kubwa ya wasichana wa kitanzania wanatamani kuolewa na wazungu..WAZUNGU BILA KULA TIGO HAWAJAFANYA MAPENZI
ndo hapo dada maana hao wazungu ni washenzi sana anaweza kupa hata mbwa usexy nayeDu na %kubwa ya wasichana wa kitanzania wanatamani kuolewa na wazungu..
Na Lemutuz anamsubiri kwa hamu[emoji15] [emoji15]Vipi kashafika mjini? maana wale wauza unga wanamsubiri kwa hamu kweli