TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Wazungu hawa kwa Kutumia Banjo, wanaimba wimbo wa Eddie Kenzo wa Systa Loss, Very Nice and funny!
Mleta uzi umejiona umeleta bonge la post! Hapo Wanatucheka sisi waafrika hatuna akili,malofa..mzungu tunamuona mtu wa maana sana lakini hafai ht kidogo...ndio maana waarabu wanawaona ka mavi wazungu hawana thamani yeyote kwao ni takataka tu
na wewe waarab wanakuonaje?!
Huwezi linganisha mzungu na mwarabu wewe! Mwarabu anatuthamini sana,tena tunao wengi hapa wanatupa heshima kubwa tu, tofauti na hao wazungu! Upumbavu wote wanaotufanyia hawa wazungu lkn still tunawaona watu wema..je ingekuwa ndio waalabu wanatufanyia ingeleta sura gani? Tafakari kwanza kabla hujajibu