Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 428
- 766
Kilimo cha kisasa mkuu,Wakuu kwema, naombeni msaada kupata wazo la biashara maana nimeshaumiza kichwa sana sipati majibu. Nnao mtaji katika bonds ambao unamachua ndani ya miaka 5 ijayo utakaonipatia takriban Tsh 2B. Nikiweka na cash kwenye account zangu nyingine inakaribia tsh 2.5 B. Kiufupi nahitaji biashara itakayoninyanyua kutoka hapa nifike level ya dollar Billionaire.
Biashara nilizonazo kwa sasa naona kama zimefika ukomo sioni kama zitanifikisha huko.
Background yangu.
Biashara ninazofanya
1. Education sector - Ninamiliki shule ya msingi na Sekondari.
2. Chuo cha kozi za afya chini ya NACTE
3. Nina biashara kubwa tu ya Hardware ila nataka niachane kabisa na biashara za uchuuzi ,sababu mtaji ni mkubwa ila uwiano wake na faida sio kabisa,Capital kubwa sana lakn faida ni ndg.
4. Nina apartment za kupangisha - hii nilifanya tu kama sehemu ya kuhifadhia mtaji maana return ya ni ndogo na inakuja taratibu sana.
Elimu yangu : Bcom Accounting.
Age : 42
Tunatafuta wawekezaji tuunganishe nguvu tujenge assembly factory ya magari ya umeme..karibuWakuu kwema, naombeni msaada kupata wazo la biashara maana nimeshaumiza kichwa sana sipati majibu. Nnao mtaji katika bonds ambao unamachua ndani ya miaka 5 ijayo utakaonipatia takriban Tsh 2B. Nikiweka na cash kwenye account zangu nyingine inakaribia tsh 2.5 B. Kiufupi nahitaji biashara itakayoninyanyua kutoka hapa nifike level ya dollar Billionaire.
Biashara nilizonazo kwa sasa naona kama zimefika ukomo sioni kama zitanifikisha huko.
Background yangu.
Biashara ninazofanya
1. Education sector - Ninamiliki shule ya msingi na Sekondari.
2. Chuo cha kozi za afya chini ya NACTE
3. Nina biashara kubwa tu ya Hardware ila nataka niachane kabisa na biashara za uchuuzi ,sababu mtaji ni mkubwa ila uwiano wake na faida sio kabisa,Capital kubwa sana lakn faida ni ndg.
4. Nina apartment za kupangisha - hii nilifanya tu kama sehemu ya kuhifadhia mtaji maana return ya ni ndogo na inakuja taratibu sana.
Elimu yangu : Bcom Accounting.
Age : 42
Mkuu hii mtaji wake ni mkubwa sanaTunatafuta wawekezaji tuunganishe nguvu tujenge assembly factory ya magari ya umeme..karibu
Ingia kwenye biashara ya dhahabu mkuuWakuu kwema, naombeni msaada kupata wazo la biashara maana nimeshaumiza kichwa sana sipati majibu. Nnao mtaji katika bonds ambao unamachua ndani ya miaka 5 ijayo utakaonipatia takriban Tsh 2B. Nikiweka na cash kwenye account zangu nyingine inakaribia tsh 2.5 B. Kiufupi nahitaji biashara itakayoninyanyua kutoka hapa nifike level ya dollar Billionaire.
Biashara nilizonazo kwa sasa naona kama zimefika ukomo sioni kama zitanifikisha huko.
Background yangu.
Biashara ninazofanya
1. Education sector - Ninamiliki shule ya msingi na Sekondari.
2. Chuo cha kozi za afya chini ya NACTE
3. Nina biashara kubwa tu ya Hardware ila nataka niachane kabisa na biashara za uchuuzi ,sababu mtaji ni mkubwa ila uwiano wake na faida sio kabisa,Capital kubwa sana lakn faida ni ndg.
4. Nina apartment za kupangisha - hii nilifanya tu kama sehemu ya kuhifadhia mtaji maana return ya ni ndogo na inakuja taratibu sana.
Elimu yangu : Bcom Accounting.
Age : 42
Hapana mkuu initial bajeti ni $ 5,000,000 wewe tayari una almost $1M, hizo 4 zilizobaki akitokea mmoja akatoa 2 the rest tunamalizia sisiMkuu hii mtaji wake ni mkubwa sana
KilioIngia kwenye biashara ya dhahabu mkuu
huko bila tunguli hatoboi.Ingia kwenye biashara ya dhahabu mkuu