Wazoefu wa relationships naombeni ushauri

hahaha yaan unakosa confidence kisa chunusi?.....hzo chunusi znatibika,,,, tafuta dawa ya chunusi km ukishindwa kupata njoo huku JF andika uzi natafuta dawa ya chunusi wataalam watakusaidia maana najua wapo


Afu mbona unachagua chagua sana wanawake,,,, sikuzote mchagua naz huambulia koroma,,, ww tafuta mmoja tu aliyetulia afu tulia nae xio lazma awe virgin ili mrad awe katulia tu ww tulia nae......
 
thanks jo,am working on it,thanks so much
 
asante sana kaka your very helpful,ngoja nifanye juhudi kupata hicho kitabu
 

true mate,nimegundua umri unaenda,i have to change na ndio maana nimeanzia humu,nifanyia kazi ushauri wako
 
thanks so much,nitafanyia kazi
 
Jifunze kuandika lugha yetu, iliyoletwa na majahazi huiwezi wewe mvulana
 
Chunusi?labda wa kwenye maji yaani hiyo ndo inakukosesha mahusiano? kuna watu wapo kama ukuta wa chipping na wanang'oa mademu wa maana acha hizo bwana mdogo sio kila wasiwasi ni akili waqt mwingine sio.
 
nimesomaaa weeee nkajua sijui tatizooo gan kubwaa kumbe hamna sikia clinical officer tatizo lako kubwa ni insecure yaan hujiamin kutoka ndan ya nafsi yako ambapo ni ugonjwa mbaya kuliko kitu chochote....kwanza jikubali...pili amini hakuna aliye zaidi yako...tatu jipendeee..yaan ukishndwa kujipenda na kujithamin ww huwezi kumpenda mwingine...anza kujifeed positive views about your own look wakat mwngne yaweza kuwa hormony imbalance time will come u will be alright


NAKUKUMBUSHA KWA HERUFI KUBWA ANAEKUPENDA KWA DHATI HATOJALI SANA ABOUT YOUR LOOKING ESPECIALLY MUONEKANO WA NNJE BALI THE INNER SIDE OF YOU.
 
We hujui raha ya hayo machunusi, kuna madem wanayapenda. Mimi ninayo zaidi yako na mamdogo wako huwa huwa anapenda kuyapuchua puchua tukiwa on bed mpaka nasinzia. Kwa tz kuapata cream ya kuondoa acne ni shida ila katika kutafuta angalia lotion au cream yenye Salicylic acid. Ila hao wanawake wameumbwa kupuchua machunusi ndio kazi yao.
 
tatizo unajistukia sana ebu acha huo upuuzi wanaume wanaringia urijali sio sura Sijui pesa wewe ukiwa rijali tu kwisha habari onyo uthithubutu kutumia kitauro maana wewe ujiamini mwanaume ingekuwa sura marehemu Remy ongara asingekuwa na mke jiamini
 
Nenda kanunue Mask uvae km ka yule jamaa wa Film THE MASK maana haiwezekani miaka 25 bado unaona ona haya
 
Sa chunusi si zinasuluhisho! Huiamini kwasababu ya chunusi, tatua hilo kwanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…