Niliandika hii post miezi kadhaa iliyopita lakini dhamira yangu ilinisuta kuituma, jana usiku nililala na stress kuhusu mambo haya haya, asubuhi nimeona post ya yule mdada virgin imenifariji kutuma ya kwangu.
Naomba nilete kwenu hili, ni baadhi ya changamoto kwenye maisha yangu, nataka kuwa mtu mpya and start living up to my expections, lakini kufanya hivyo I have to kill the old wrong habbits. Hii ni kuhusu mahusiano nikipata msaada mzuri nitaleta na lingine.
Mimi ni mvulana nina umri wa miaka 24 (soon 25) nimehitimu chuo kozi ya afya ngazi ya diploma last year (Clinical officer fresh from school), currently nasubiri ajira za serikali. Among many problems that I have ni suala la mahusiano, mpaka sasa sijawahi kuwa na SERIOUS girlfriend, sijawahi ku-kiss wala kusex. I tried to love several times in the past lakini sikuwa successful kuanzisha mahusiano. Kuna ambao niliwapenda sikuwaambia na kuna ambao niliwapenda lakini hawakukubali.
Mbali nilipofika kwenye mahusiano ni siku za karibuni hapa, kulikuwa na huyu binti mzuri sana wa sura na umbo, exactly my type, tunajuana since utotoni she admired me coz she knows I have good soul, nilikuwa nampenda for many years lakini sikumwabia sababu kubwa ambazo ilinifanya niwe kimya ni hii;
Niliamini kwamba I was not good looking coz I have been suffering from pimple all my life, bila pimple sio mbaya kivile and honestly very very good lookini dude but am never without pimples, huwa sipendi hii hali na nikiwa hivi nakuwa sijiamini kabisa hata ku appear mbele za watu huwa sipendi.
Karibuni hapa nikamwambia huyo binti ukweli and she agreed very easly lakini sadly nikashindwa kumkeep kwa sababu ya isues zifuatazo;
First I still have pimple so sikuwa free kuonana nae mara kwa mara especially Mchana, sikupenda kabisa kuonana na maarfiki zake coz nilikuwa sijisikii vizuri wao kuniona katika hali ile.
Kingine ni hivi I always admire kuoa a girl who is virgin, beginner kama mimi na huyu hakuwa hivyo, kazi ninayofanya inani-expose na watu wengi sana na nimiekuwa nikikutana na a lot of girls ambao ni virgin alafu moyo ukawa unauma coz mine is not. Mwisho wa siku binti akaona nina complication so akaamua kusepa zake, tulikuwa good friends for many years lakini nimejaribu kuwa in love nae kwa miezi michache na tukashindwa. Hatukufanya ngono wala romance yeyote.
Currently nipo tu, am not dating lakini kuna so many girls around me lakini najiona sipo tayari, well mimi ni Clinician nilijishikiza mahali kufanya kazi na jinsi nilivyokuwa najiona mbaya na pimple lakini avery week ilikuwa sikosi wagonjwa wawili watatu wa kuonyesha interest kwangu, but so far sijaona aliyenivutia na mimi bado sijiamini najiona sifai for anyone.
Miaka inaenda natamani kuseto kimaisha with a lovely woman lakini kila siku changamoto, kwa mfano sasa nina new desire nataka nijiunge na Jeshi niko very committed na hilo na almost nakaribia kufanikiwa but nitatumia miaka 2 mpaka 3 kwa ajili ya kozi kabla ya kurudi uraiani na ajira hapo nitakuwa nina miaka 28 hivi, miaka 28 bila dira ya mahusiano, bila kusex.
Am a good man but very weak, a good friend and chrstian (sio mlokole, naenda hata club sometimes), naamini katika sex after marriage vinginevyo ningekuwa nimeshafanya zamani sana.