Wazoefu wa kutongoza !

Tafuta binti uangalie njia anayopita kila siku na ujue mida anayopita njia hiyo
jitahidi mida hiyo uwe unapita ili mpishane,kila ukimfikia simama mbele yake
na utabasamu kidogo.Fanya hivyo mara kwa mara mpaka atakapokuuliza unacheka nini?
wewe anzia hapo,maneno yatakayokutoka ili kujibu swali lake yakariri, ukifika nyumbani
yaandike na hayo ndo yanaitwa "kutongoza"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…