Wazoefu wa kutongoza !

Wadada wa uswaz chips yai na kuku tu unakula mzgo
 
mwambie dada samahani sana akigeuka tu usiwe mzito mwambie naomba kukuhuliza akisema uliza,mwambie kuwa wewe umetokea kukupenda sana na muhulize kama yuko busy au kama unaweza msifia kitu chochote mf.mdomo kichwa miguu mat...ko kama hayupo busy msikilize kama jambo atakalo kwalo kwambia halina msingi unaweza kum convince kuwa nakuomba falagha kidogo.huyo ni dem wa wa fasta fasta una haja ya number wale wa geti kali lo.......ding next time


swissme
 
We mke si ushapata njia zabkutongoza za nn? Au unatafuta mchepuko.
 
Kaangalie muvi ya James Bond yoyote, humu tutakosa practice nzuri.

Au labda kuwa mwanamke mimi niwe nakutongoza.
 
Siku hizi hatutongozi, tunatafuta fedha, zikipatikana wadada wanakuja wenyewe. Hii njia ya kutongoza inaitwa jiwe moja ndenge wawili.
 
First Scenario
You:hi shawty,are you single?
Girl:mhm..Yes..
You:..well..It must be a lucky day for both of us....
Second Scenario
You:Hi shawty,are you single?
Girl:Nah,I have a boyfriend...
You:Wow!..I love committed girls....😎😎😎

Moral of the story:Make the best use of any scenario...πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…