Habari za shughuli wandugu naomba kueleweshwa kwa habari ya carrying subject huwa ni mara ngapi kulirudia hilo somo au hakuna limit? na je kuna hasara yeyote unayoipata zaidi ya ile ya kupoteza muda tu na kuwa na mzigo nyumba wa hilo somo? pia mnisaidie kwa mwaka wa pili wa degree unakuaje mtu ukapata sup ukashindwa chomoa ukaamua ungoje umalize chuo ndo ulirudie hilo somo je zipo athari zozote?
Naombeni msaada kwa wenye yenye uelewa juu ya hili
Sent using
Jamii Forums mobile app