Tatizo mapenzi mnayachukulia serious sanaHabari watu wa JF
Mimi ni msichana 23yrs sikuwahi kuingia kwenye mahusiano, ila 2019 nilianza mahusiano na kijana fulani yeye ni 31 yrs, ni mwanaume wa kwanza kwangu alinipenda sana na mimi nilimpenda pia, but nilichogundua mimi ndiye nilimpenda sana kuliko yeye.
Ilifika mahali tukatambulishana mpaka nyumbani na huu mwaka ndio tulipanga tufunge ndoa wazazi na ndugu wanajua hilo. ila gafla mwenzangu amebadilika sana, ana wanawake wengine, ananidharau sana, hata nikitaka kumkumbatia hataki kabisa, kuongea na mimi anaona kero, nisipomtumia SMS hatumi nisipopiga mimi hapigi, hata nikipiga hapokei simu zangu wala hajibu sms tukikutana nikimuuliza anasema hakuna tatizo.
Naumia sana yaani ilifika hatua nilitamani hata kujiua sijawahi kupenda, yeye ni wa kwanza nampenda sana sana , ananiumiza sana hata kwa maneno na majibu yake kwangu najua anipendi tena. nimekuwa wa kulia hata shughuli zangu haziendi, usiku nachelewa kupata usingizi nimekuwa mpweke nimepitiliza, yaani nina msongo wa mawazo , kuna muda nafanya mambo ya ajabu mpaka nawaza labda nimeanza kuwa kichaa.
Ila yeye hajali kabisa amefocus na michepuko yake naumia sana sana, naomba mnisaidie mlioingia kwenye mahusiano muda mrefu mliwezaje kumoveon natamani nimuache afanye anavyotaka nahisi namkera hata ninavyomuuliza kwanini amebadilika. Natamani nimpe uhuru achague anachotaka, ila siwezi nampenda sana jamani siwezi kukaa mbali na yeye nampenda sana nisaidieni.
Afate ushauri huu atakuja kunishukuruMiaka 23 unataka kujiua ? Achana na mapenzi, anza harakati za kudai katiba mpya, baada ya muda utasahau hayo matatizo mapenzi na utakuwa umelisaidia taifa lako. Vijana ndio taifa la kesho !
🤣🤣🤣Mi naona chukua namba yangu unisindikize Hospitali.
Usipambane na hali unayopitia,unachotakiwa kufanya ni kukubali hali hiyo.Habari watu wa JF
Mimi ni msichana 23yrs sikuwahi kuingia kwenye mahusiano, ila 2019 nilianza mahusiano na kijana fulani yeye ni 31 yrs, ni mwanaume wa kwanza kwangu alinipenda sana na mimi nilimpenda pia, but nilichogundua mimi ndiye nilimpenda sana kuliko yeye.
Ilifika mahali tukatambulishana mpaka nyumbani na huu mwaka ndio tulipanga tufunge ndoa wazazi na ndugu wanajua hilo. ila gafla mwenzangu amebadilika sana, ana wanawake wengine, ananidharau sana, hata nikitaka kumkumbatia hataki kabisa, kuongea na mimi anaona kero, nisipomtumia SMS hatumi nisipopiga mimi hapigi, hata nikipiga hapokei simu zangu wala hajibu sms tukikutana nikimuuliza anasema hakuna tatizo.
Naumia sana yaani ilifika hatua nilitamani hata kujiua sijawahi kupenda, yeye ni wa kwanza nampenda sana sana , ananiumiza sana hata kwa maneno na majibu yake kwangu najua anipendi tena. nimekuwa wa kulia hata shughuli zangu haziendi, usiku nachelewa kupata usingizi nimekuwa mpweke nimepitiliza, yaani nina msongo wa mawazo , kuna muda nafanya mambo ya ajabu mpaka nawaza labda nimeanza kuwa kichaa.
Ila yeye hajali kabisa amefocus na michepuko yake naumia sana sana, naomba mnisaidie mlioingia kwenye mahusiano muda mrefu mliwezaje kumoveon natamani nimuache afanye anavyotaka nahisi namkera hata ninavyomuuliza kwanini amebadilika. Natamani nimpe uhuru achague anachotaka, ila siwezi nampenda sana jamani siwezi kukaa mbali na yeye nampenda sana nisaidieni.
Nimekuja boss!!Laiti kama naye angekuja hapa na kusema sababu zinazomfanya abadilike na kujaribu kujiweka mbali nawe, huenda tungemhurumia. Hizi single side based stories binafsi huwa sitoi ushauri kwani najua vema nilovyoteswa na hivi vi early 20’s kipindi natafuta mwenza.
Habari watu wa JF
Mimi ni msichana 23yrs sikuwahi kuingia kwenye mahusiano, ila 2019 nilianza mahusiano na kijana fulani yeye ni 31 yrs, ni mwanaume wa kwanza kwangu alinipenda sana na mimi nilimpenda pia, but nilichogundua mimi ndiye nilimpenda sana kuliko yeye.
Ilifika mahali tukatambulishana mpaka nyumbani na huu mwaka ndio tulipanga tufunge ndoa wazazi na ndugu wanajua hilo. ila gafla mwenzangu amebadilika sana, ana wanawake wengine, ananidharau sana, hata nikitaka kumkumbatia hataki kabisa, kuongea na mimi anaona kero, nisipomtumia SMS hatumi nisipopiga mimi hapigi, hata nikipiga hapokei simu zangu wala hajibu sms tukikutana nikimuuliza anasema hakuna tatizo.
Naumia sana yaani ilifika hatua nilitamani hata kujiua sijawahi kupenda, yeye ni wa kwanza nampenda sana sana , ananiumiza sana hata kwa maneno na majibu yake kwangu najua anipendi tena. nimekuwa wa kulia hata shughuli zangu haziendi, usiku nachelewa kupata usingizi nimekuwa mpweke nimepitiliza, yaani nina msongo wa mawazo , kuna muda nafanya mambo ya ajabu mpaka nawaza labda nimeanza kuwa kichaa.
Ila yeye hajali kabisa amefocus na michepuko yake naumia sana sana, naomba mnisaidie mlioingia kwenye mahusiano muda mrefu mliwezaje kumoveon natamani nimuache afanye anavyotaka nahisi namkera hata ninavyomuuliza kwanini amebadilika. Natamani nimpe uhuru achague anachotaka, ila siwezi nampenda sana jamani siwezi kukaa mbali na yeye nampenda sana nisaidieni.
Dah so sadHabari watu wa JF

Dah!!Miaka 23 unataka kujiua ? Achana na mapenzi, anza harakati za kudai katiba mpya, baada ya muda utasahau hayo matatizo mapenzi na utakuwa umelisaidia taifa lako. Vijana ndio taifa la kesho !
Ndo madhara ya kutazama seasons za kikorea!hap
o kubali umeachwa. jaribu kufanya haya
1. nenda mbali na eneo analoishi ikiwezekana nenda mkoa mwingine
2. jaribu kutokumuwazia
3. jichanganye na marafiki wengine
4. sikiliza muziki usipende kukaa peke yako
5. ongea na mtu mzima unaemuamini utapata nafuu ya moyo
6. badili namba yako ya simu
7. jizuie kumpigia kumtumia sms
8. tafuta mpenzi mwingine haraka
Awap!! [emoji23][emoji23][emoji23]Em kajiangalie kwenye kioo vizuri. Do you deserve that. Mbona umri bado shosti. Am not saying uringe kisa mdogo..I mean tuliza kipago dada huyo ndo kashapita ivi.
Pray, Meditate, Toa sadaka. Ishi na watu vizuri, kula vizuri kwa afya, eventually hiki kipind kitapita. Wewe sio wa kwanza anyways. You are better than this...move on. Kaza roho mwanamke don be lelemama.