TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,330
- 8,420
Nunua vifaranga vya kuku chotara then wakuze ndani ya miezi 6-7 unauza kwa bei ya kila kuku sasa hv 14,000 Jogooo 20,000.
Anza na kuku kidogo upate uzoefu ila katika plan hiii unatakiwa uwe mbinifu and smart unaweza piga pesa ndefu.
[HASHTAG]#ubunifu[/HASHTAG] 1. Lima mwenyewe mahindi then baada ya mavuno tengeneza chakula, ambacho utakitengeneza kupitia formula ambazo unaweza kuzipata bila kutumia ghalama nyingi hii itakufanya project yako ikuzalishia faida kubwa.
# Kwenye issue ya madawa haina ghalama kubwa sana kama ukiwapa chanjo katika muda muafaka.
# Kua smart sana muda wote hakikisha kuku unawapa maji safi na salama wape chakula kupitia ratio za ukuaji wao.
Wape mboga mboga
Lat say ukiwa na kuku 3,000 ambao umewakuza ndani ya miezi 6-7 kwa bei ya sasa ni mpunga mrefu.
Demand kubwa sana Tanzania ya kuku huwezi hangaika kupata soko
Vijana wengi hawataki kuchangamkia fursa ya ufugaji kwa kuogopa kuonekana ''Muhenga'' wanataka kushinda kwenye masocial Media kufatilia ''ubuyu'' alf madame wengi siku izi hawataki boyfriends mfugaji
Sasa wewe tumia huuu uzaifu upige pesa
All the best..