Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Hii policy ya Tanzania ya viwanda ni ya kihuni na haitekelezeki...mimi ni mtu nisiyejulikana!kwa nini unaogopa kujianika mkuu??
kuelekea serikali ya viwanda,mtatafuta wenyewe kujulikana,
watu professional hawafich taaluma zao,
kuna mitandao kama LinkedIn,watu wameweka profile zao wazi,
huko tunakokwenda hata nyie mtaona umuhimu wa kuweka wazi,
lastly,sina profession yoyote ndugu,
ndio maana nahimiza,JF isiwe just for fun,we can learn while we are having fun
Phd za kizushi na proffesorial rubbish siwaamini kijani mabashite.....Kij
Kijani ni wataalamu wa kuchakachua kura
kwa nini unaogopa kujianika mkuu??
kuelekea serikali ya viwanda,mtatafuta wenyewe kujulikana,
watu professional hawafich taaluma zao,
kuna mitandao kama LinkedIn,watu wameweka profile zao wazi,
huko tunakokwenda hata nyie mtaona umuhimu wa kuweka wazi,
lastly,sina profession yoyote ndugu,
ndio maana nahimiza,JF isiwe just for fun,we can learn while we are having fun
Yaani jina huna halafu unataka wenzio waandike!sina,
nisaidie.lol
Umetumia research IPI? Nchi wapewe wachuuzi? Chaduma?Labda watumie nguvu, lakini hata nusu ya kura zile inaweza isifike.
Mpaka sasa hakuna asiye lalamika.
Uko sahihi kabisa, umetoa wazo bora sana.. Hata sisi wanachama wenyewe tutakuwa na nafasi kubwa ya kupata elimu mahususi kutoka kwa hao wataalamu.poa mkuu,
umuhimu wa kuileta hii topic ni specific kumuongezea ushauri Rais nje ya wale wanaomzunguka,
usimchukie Rais,he is there until 2020
huyu bibi katumwa sio bure yani mods wanipange na huyo verified user aje kunipa ban!Yaani jina huna halafu unataka wenzio waandike!
Tafadhali jf yetu bado kuna kesi uchwara mahakaman tafadhali sana alokutuma mwambie sio rahisi kupata ushahidi.
Taaluma! watu wa jf wanazo tena sanaa au hujui? Hata ww unayo hiyo yako ni taaluma pia
Rais ana washaur,ana baraza la mawaziri,bado hashauriki unashani jf ndo atawaelewa kama hao alowachagua tu hataki/hasikii ushauri wao
Linked ni mtandao wa kibiashara ati jf ni sehem ya watu openly we dare tuachie uhuru wetu bibiee
Wazo sio baya ila usitake hazina ya vifaa vya jeshi letu vikatumika kwa jamii kama unavoona vinatumika kiuchwaraaaa
DEREVA MZURI NI YULE ANAEENDESHA NAFSI YAKE.
Hashauriki yule, achana naye tu mnafikipoa mkuu,
umuhimu wa kuileta hii topic ni specific kumuongezea ushauri Rais nje ya wale wanaomzunguka,
usimchukie Rais,he is there until 2020
Hujawahi isikia JF ikitimba kwenye Mihimili mkuu?najua ushauri ni mwingi unaotelewa humu,labda JF wafanye uchunguzi kama ushauri unaotolewa humu,huwa unawafikia walengwa???
Wazo lina nia "njema " lakini silioni litafanyaje kazi bila kuwa na ubaguzi. Serikali kama imejipanga ina uwezo wa kupitia majukwaa na kupata madini mazuri tu. Kumbuka ushauri ni pamoja na kukosoa (critique -criticism ) kitu ambacho kwa wengi wetu pamoja na utalaamu wetu hatuwezi kutoa kwa kutumia verified names. Sheria za mtandao na watu wasiojulikana ni sababu za nyongeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu naona unatutishia amani hunter.Ombi lako tumelipokea na tutalifanyia kazi na asante kwa kutumia mtandao wetu wa JF