Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Wakuu,
Naona rais aongezewe mshahara hata angalau milioni 30 kwa mwezi kuliko kulipwa milioni 9.5 kwa mwezi wakati ana majukumu mazito hivyo.
Naona rais aongezewe mshahara hata angalau milioni 30 kwa mwezi kuliko kulipwa milioni 9.5 kwa mwezi wakati ana majukumu mazito hivyo.
sidhan kama kuna usahihi labda niione salary slip. haiwezekani mla maharagwe wa shirika la serikali alipwe milion zaid ya 35 halaf mkuu wa nchi eti milioni 9!