trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Liandaliwe Jukwaa maalum kwa ajili ya:-
1. Watu wanaoanzisha threads za kipuuzi zisizo na mbele wala nyuma.. So zihamishiwe huko kuliko kuzicut (kuzifunga),ama kuziondosha moja kwa moja. Kwa hiyo watakaokuwa wanafagilia huo uzi wataendelea nao huko.
2. Members ambao kwa sasa wanaface adhabu ya BAN,wawe banned kwa majukwaa yote ila hilo Jukwaa la (mtalitafutia jina).. Waingie huko wapige stori zao,na sisi wengine kwa busara ya mods tuweze kuwajoin huko kwa kusoma bila kuweza kucomment au kupost chochote jukwaa hilo..
Lengo kubwa ni kutomnyima mtu haki yake ya kushriki kutoa michango kwa maandishi ukizingatia aliikubali JF na kuamua kujisajili..
Mods please mnipatie majibu kwenye email yangu..