Wazo langu kwa Mods: JF Chit Chatters Niungeni Mkono!

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
735
Liandaliwe Jukwaa maalum kwa ajili ya:-
1. Watu wanaoanzisha threads za kipuuzi zisizo na mbele wala nyuma.. So zihamishiwe huko kuliko kuzicut (kuzifunga),ama kuziondosha moja kwa moja. Kwa hiyo watakaokuwa wanafagilia huo uzi wataendelea nao huko.

2. Members ambao kwa sasa wanaface adhabu ya BAN,wawe banned kwa majukwaa yote ila hilo Jukwaa la (mtalitafutia jina).. Waingie huko wapige stori zao,na sisi wengine kwa busara ya mods tuweze kuwajoin huko kwa kusoma bila kuweza kucomment au kupost chochote jukwaa hilo..

Lengo kubwa ni kutomnyima mtu haki yake ya kushriki kutoa michango kwa maandishi ukizingatia aliikubali JF na kuamua kujisajili..

Mods please mnipatie majibu kwenye email yangu..
 
Wadau wa chit chat mwaweza kupropose jina la jukwaa hilo jipya..

Mods naomba msihamishe uzi kwani ni maalum kwa chitchatters..
 
fakari kwanza,nitarudi.
aliyeweka neno...moved...bila shaka alikuwa na maana yake.
 
Jina la jukwaa liitwe..jukwa la wajenzi huru,.ila kiingereza cha ndio sijui.
 
pole sana Invisible....hivi saa zingine si kichwa kinakuuma kabisa......
Niruhusu nikuletee painkillers tafadhali.......
 
Last edited by a moderator:
Ya kazi gani? Pumba zisizo na matatizo si zinajazwa huku chitichati?

Na unajua maana ya kupigwa ban? Kama unajua basi hoja yako haina maana.
 
...sio kwamba jukwaa lenyewe ndo hili..chi-chat!?

Hamna mkuu BAGAH..
Mle patakuwa panaaccomodate thread zisizo na kichwa wala miguu,mbele wala nyuma.... Ambazo si za ki-GT...
Wenye ban kwa hiari yao wanaweza wakaingia majukwaa yote ila kupost,ni kwenye jukwaa hilo tu!
 
Last edited by a moderator:
pole sana Invisible....hivi saa zingine si kichwa kinakuuma kabisa......
Niruhusu nikuletee painkillers tafadhali.......

Ndiyo responsibilities zake.. Painkillers huenda hata akawa hajawahi kuzitumia tangu mwaka huu uanze!
 
Last edited by a moderator:
Ya kazi gani? Pumba zisizo na matatizo si zinajazwa huku chitichati?

Na unajua maana ya kupigwa ban? Kama unajua basi hoja yako haina maana.

Hii comment yako imekaa ki-moderator zaidi..
Asante kwa ku-post..
 
TRACHOMATIS hapo juu nilisema sina maoni nikijua hauko sirias, ila baada hata ya kuona unabishana na BAGAH nimeona kuna haja ya kukujuza mwanawane kuwa CHIT CHAT ndio penyewe pa uchafu wote hakuna pengine! Ila kiutu uzima nakupa hope kuwa mabadiliko makubwa yatafanyika HUMU JAMII FORUMS tarehe 12 hadi 15 mwezi huu wa tano huenda wazo lako lisitupwe kapuni, just in case.
 
Thanks...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom