Dah, kweli wewe bado unakuwa. Nikinywa huo uji mwezi mmoja tu nahamia rehabilitation center. Bora hata mchemsho wa mbuzi kuliko hiyo makitu. Haya bwana, enjoy.

mawazo gani hayo funguka,kama unataka ndoa hapa zipo hata za mkeka,kama unahitaji kukaguliwa mpekuzi yakinifu yupo,bar kila siku zinafunguliwa mpya humu yaaan we unashidwaje jilazimishe hivyo hivyo tu!makanisa misikiti yapo