Jerry de Marco
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 213
- 41
Wakuu naomba mnisaidie jambo moja inakuaje kila msichana nnaemtongoza ananiambia anae wake wakat wengne nna uhakika hawana pia naweza mpenda gal fulan lakin kila nikipanga kumwambia kuna hofu inakuja ndan yangu na hii imenifanya kuwapotezea baadhi ya niliowapenda.Naomben mnisaidie namna ya kuupata ujasiri wa kuwaambia