nivumilie si unajua mkopo wanachukua chao ppf wanachukua chao watoto wangu wanne nawalea mama tofauti wanachukua chao kupitia uswtawi wa jamii bado madeni nilikopa nilivyokutoa out madeni dereva wa boda boda kodi ya nyumba
nahisi imeinia ila imeisha
vip unaweza kuniazima hela kidogo ?
Mwenzio mambo magumu