Wazo la mtu lina weza kupewa haki miliki?

Domenia

JF-Expert Member
May 26, 2009
462
22
Nafikiri watu wana weza kunisaidia niweze kujua hivi inawezekana ?
tafadahali hebu click hapa
 
Last edited:
Usiwe na shaka
Idea inaweza kupewa haki miliki. Wapigie COSOTA au tembelea COSOTA utapata anuani zao na kama upo Tanzania watembelee watakuelewesha kwa kina na namna ya kusajili ideas zako mkuu. Wahi kabla jioni haijakufikia maana kuna watu wapo sharp kuiba mawazo ktk jamii utadhani wamezaliwa china vile.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…