Wazo la leo

Wazo la leo

sikia hi,wazir mmoja anaye huxika na mambo ya mifugo alitembelea kituo cha kufugia nyuki,akamkuta mlinz wa kituo kile, mlinz akamkazia kuingia, wazr akaxema"we unanikatalia kuingia umu unanijua mi ni nan?"wazr akatoa kitambulixho akamuonyexha yule mlnz, mlnz alivo ona kwa upole akamruhuxu aingie.... baada ya sekunde kadhaa mule ndan zilickika kelele za wazr akiomba mxaada,,jaman nyukiii wataniua mm we mlnz nixaidie,, yule mlnz alivyockia ivyo akaxema kwa xauti" ao awakufahamu waonyexhe kitambulixho kama ulivyo nionexha" wazr ikala kwake
 
Back
Top Bottom