You are very right kama unazungumzia uhusiano wa U-girl friend/U-boy friend, Kutoka pamoja, kampani nk. Lakini kwenye mahusiano ya mke/mume, kwangu naona ni Big No!!!
Waswahili wanakwambia tabia haina dawa, tabia si somo la darasani, useme utakosoa mtu atabadilika, jaribu uone kama hautakufa kwa stress!