-----------------------------------------------------------------------------
Hata uwe msafi vipi, huwezi kunawa mikono ili ule rushwa.
Ukiachwa na mpenzi wako usijali, mwambie "bora pengo kuliko jino bovu".
Pundamilia ana mistari lakini hawezi kwenda Studio.
Hata uwe kinyozi hodari na mtaalamu kiasi gani, huwezi kunyoa kichwa cha habari.
------------------------------------------------------------------------------
Tupia lako.