kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Huwezi kuwa salama, kama jirani yako hayupo salama.
Ukionaaa utamu saaana, ujue uchungu unaokuja sawa na ule utamu.
Na mwisho matako ya sufuria hayaogopi moto.
Mnaweza kuongezea ila msisahau kuifadhi chakula mwaka 2017 haugawiki.