Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Hata uwe na upendo kwake kiasi gani huwezi kumbusu Nyuki!
1. Umia kadri ya kuumia lakini KIDONDA cha mapenzi hakifungwi bandeji.
2. Barabara nazo zina MATUTA lakini huwezi kupanda viazi.
3. Hata panga liwe KALI kiasi gani lakini haliwezi kukata kiu.